Recent content by Richruge

  1. R

    DC Magu aagiza walimu kufanya usafi shule zao kila Jumamosi

    DC Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza amewaagiza walimu wote kufanya usafi katika vituo vyao vya kazi kuanzia saa kumi na mbili na nusu asubuhi mpaka saa nne asubuhi kila Jumamosi ya kila wiki kuanzia kesho na mahudhurio yatakuwa yanachukuliwa. My take: Mwl anaye amka kila siku asubuhi Jumatatu mpaka...
  2. R

    Kwa mgawanyo huu wa wapiga kura, Lowassa kumshinda Magufuli ni ngumu

    Tofauti ni arround million moja na laki nane, kumbuka wanawake nao wamebadirika sana vijana wafanyakazi wa serikari na sekta binafsi ambao hawaonekani mikutanoni, hivyo tegemea maajabu makubwa, fanya utafiti kidogo kwa waalimu vijana wa sekondari na shule za msingi utatwambia ...
  3. R

    Nahitaji mkopo wa haraka wa Milioni 10, nipo Mwanza

    Kama wewe ni mfanyakazi, nenda jengo la CCM karibu na kastamu ghorofa ya pili upande wa kushoto utaona kibao kimeandikwa mikopo rahisi; wanahita recent salary slip moja, bank statement; kitambulisho cha kazi na picha mbili. wanakupa mkopo ndani ya siku tatu.
  4. R

    Ziara za rais na matunda yake

    Acha kuhamisha mada wewe, jadili kilichwekwa jamvini kama wewe ni mzalendo kweli, ingekuwa mtihani na mimi ni mwalimu wako ningekupa -10 out of 10
  5. R

    Azam vs yanga updates

    azam wamesawazisha hivyo ni mbili kwa mbili dakika ya 26
  6. R

    Azam vs yanga updates

    yanga 2 azam 1
  7. R

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    umeonae flora,,,habari ya siku nyingi!
  8. R

    Miaka 25 ya kujua kusoma

    Mkuu nashukuru sana
  9. R

    Miaka 25 ya kujua kusoma

    Wakuu nawasalimia katika jina la JF ; Napenda kuwashrikisha katika sherehe yangu ya Miaka 25 ya kujua kusoma. Leo nimetimiza miaka 25 tokea nilipojifunza kusoma. Katika kipindi hiki nimenufaika sana. Nimeweza kukuza maarifa yangu katika nyanja mbali mbali. Katika kusherekea Miaka 25 ya kujua...
  10. R

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Kanyugu na morning star coach Kanyigo to Bk; Rwabizi Bk to Kamachumu(waliosoma Rutabo seminary miaka ya tisini mtaikumbuka
  11. R

    Mbunge Moses Machali ampiga na kumuumiza vibaya baba yake mzazi

    haaa kweli una allege na chadema! machari na chadema wapi na wapi 'katelwe enkuba'
  12. R

    TAARIFA kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, kilichomalizika leo Jan 04, 2014

    Anachanganya na mahakimu mpaka anashinda kesi kubwa? Be yourself, not for CCM!
Back
Top Bottom