Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Status
Not open for further replies.
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.

Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.

Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.

Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.

Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.

Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.

Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.

Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.

Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.

Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.

Aibu yako au aibu yetu we gebwe. Shame on you FAIZA.
 
Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko.
Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.

Kweli Chenge ni kichwa, ila wewe umethibitisha ni mata.ko
 
huyu mleta mada mpumbavu huwa mada zake najibu kipumbavu kama hivi nilivyoandika
 
FaizaFoxy labda ungetuelewesha, kitendo cha Werema kuachia ngazi ni sababu ipi? escrow ama? manake kwenye maelezo yake Werema amesema ushauri wake haukueleweka kwa UMMA,amejitathmini akaona kafanya kosa na ni lazima a step-down and thatz what he did...
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy labda ungetuelewesha, kitendo cha Werema kuachia ngazi ni sababu ipi? escrow ama? manake kwenye maelezo yake Werema amesema ushauri wake haukueleweka kwa UMMA,amejitathmini akaona kafanya kosa na ni lazima a step-down and thatz what he did...

Hivi huwa mnasoma mnachokijadili au ndiyo kiherehere chenyewe hicho? hii hamkuisoma?

"Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto."

Rudi post namba moja ukasome vizuri.
 
Nimeamini kweli kuna watu ni weoesi wa kusahau. Kuna member humu iliweka bandiko na kutoa tagadhari kuwa, itakapotokea Werema amewajibishwa au kujiuzuru sababu ya suala la escrow, basi haoo tutambue kuwa tumedanganywa.
November 30, 2014 mkataba wa Werema utakua umekwisha kwa mujibu wa sheria kwa kuwa umri wake wa kustaafu itakuwa umefika. Maneno mengine yaliyomo kwenye barua yake ya kujiuzuru ni aina nyingine ya sarakasi ili kuendelea kumlinda Mr. Big.
Tukiendelea kukarori wahusika waliotajwa na PAC tutakua na sisi tunasaidia kuwa cover wahusika halisi.
 
Oya huyo FaizaFoxy hii ndo ajira yake, achaneni nae,hapo anafikiria kwa kutumia tumbo, kuendelea kumsikiliza ni kuzidi kumpa kick, vitu viko wazi,SHAME ON YOU
 
Nimeamini kweli kuna watu ni weoesi wa kusahau. Kuna member humu iliweka bandiko na kutoa tagadhari kuwa, itakapotokea Werema amewajibishwa au kujiuzuru sababu ya suala la escrow, basi haoo tutambue kuwa tumedanganywa.
November 39, 2014 mkataba wa Werema utakua umekwisha kwa mujibu wa sheria kwa kuwa umri wake wa kustaafu itakuwa umefika. Maneno mengine yaliyomo kwenye barua yake ya kujiuzuru ni aina nyingine ya sarakasi ili kuendelea kumlinda Mr. Big.
Tukiendelea kukarori wahusika waliotajwa na PAC tutakua na sisi tunasaidia kuwa cover wahusika halisi.

November 39??? Check vizuri mkuu
 
Hivi huwa mnasoma mnachokijadili au ndiyo kiherehere chenyewe hicho? hii hamkuisoma?

"Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto."

Rudi post namba moja ukasome vizuri.

Ila nina wasiwasi sana sana na wewe!hivi ni ukweli bila hao unaowatetea ungekufa njaa hapa mjini?
 
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.

Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.

Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.

Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.

Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.

Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.

Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.

Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.

Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.

Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.

Choo pia ni makazi ya mende na mazalia muhimu ya nzi wanaosambaza magonjwa hatati sana.
 
Sasa FaizaFoxy alichokifanya Warema jana unakiita nini?. Labda jeuri yako ndio ndio imekuwafanya kuwa ajuza kama wanaJF wanavyokuita hapa.

Yaani hiki kibibi kinasikitisha sana. Halafu jamani kwani kile kitabu kingine kinasupport ufisadi? Sijawahi kukisoma na hiki kibibi kinadai siku zote ni kiumini cha hiyo dini. Kitu kingine kinachosikitisha ni kwamba hiki kibibi kinatetea ufisadi pasipokufanya homework zake vzr.Mfano kwenye hili bandiko kinataja hukumu ya kesi baina ya wamiliki wa IPTL kwamba ndio ground ya kutetea ukwapuaji wa pesa za Escrow which is VERY VERY VERY WRONG. Wewe kibibi sawa tetea huo ufisadi but jaribu kuwa angalau grounded kidogo ili usijidhalilishe sana.
 
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.

Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.

Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.

Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.

Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.

Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.

Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.

Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.

Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.

Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...uu-wa-serikali-frederick-werema-ajiuzulu.html
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom