Acha kuhamisha mada wewe, jadili kilichwekwa jamvini kama wewe ni mzalendo kweli, ingekuwa mtihani na mimi ni mwalimu wako ningekupa -10 out of 10Jk ataendelea kubaki kwenye ubora wake kathubutu kaweza na sasa anasonga mbele safi sana jk chapa kazi watanzania tupo nawe pamoja sana.