Mada yako ni tofauti na ulichokiandka, hii inamaanisha kua, you have a message behind the message. Lengo lako si kujua tofauti zao kwa kua tofauti zao zko wazi. Ushauri wangu kwako ni huu: Swala la hukumu kwa watu, wakiwamo watumishi wake,libaki kwa Mungu mwenyewe, coz yeye ndo anajua, ipi...