Nimemaliza Degree ya Ualimu nataka niunge, je ni kozi gani nzuri niombe?

Cha msingi ni kufanya utafiti ni masters gani unaweza kufanya ukiwa umesoma undergraduate ualimu hilo ndo la msingi coz kuna masters ambazo hauwezi ukasoma kama engineering,law sijajua kwenye biashara kama unaweza kufanya masters cha msingi fanya huo utafiti ila unaweza kwenda kufundisha na kutafuta fursa za business na kupata a lot of money
 
Jamani wana jimvi nimemaliza shahada ya ualimu ila nataka kuunga ila kwa kubadilisha course kwasababu sikuwa na wito wa kufundisha ila niliingia ualimu kwa madhumuni ya kupata mkopo na sikitu kingine.sasa jamani niombe course gani nzuri kwa ajili ya masterz.nawakilisha.

Hela ya masters unayo na mkopo umelipa au bado?
 
Ushauri wangu kwako ni huu, kasome Msc HRM.Itakua nzuri zaidi kama utaenda kufanya kazi ya ualimu huko ulikopangiwa, ili hyo kozi usome ukiwa kazini, i mean usome evening class kama uko mjini. Hii itakupa nafasi ya kusoma ukiwa kazn, so kazi somehow itakusuport. Kwahyo utajikuta unamaliza masters ukiwa na kazi. Hii itakusaidia kutafuta kazi ukiwa ndani ya kazi, bila stess. Waswahili wanasema acha kazi ili uone ilivyo kazi kupata kazi
 
Ingia kazini kwanza theni fanya utaratibu ukasome MBA-Finance.Itakufaa zaidi kama utakuwa na malengo ya kujiajili zaidi ya kuajiliwa.
 
Mm ni mwl nimemalza mliman last year.kaka kama umepata chanel ya kusoma nenda kasome,achana kbsa na mawazo ya kwenda kufanya kazi.ualim ni kibarua.c kaz.ukishaanza kushika chake kuna hatar ya kupoteza kabisa mwelekeo wako wa maisha.jaman hakuna kazi isiyo na maslah kama ualim,yani utaish maisha ya umaskini na manyanyaso.mshahara wa sasa wa mwl ni 469600.hii ni basic,wakikata unabak na laki 3 na upuuz hv.soma kwanza,kaz ipo 2 kaka.
Usikilize moyo wako,unataka uwe nani?au huna vision?pia angalia dunia/tanzania inahtaj wataalam gan sokon then decide wht to study.

Acha uongo mshahara wa degree (basic) 589400.
 
kaka naomba tubadilishane mimi nikupe vyeti vyangu vyote,yaani cheti changu cha kuzaliwa,cheti changu cha form four, cheti changu cha form six na cheti changu cha degree, mimi nimesomea uchumi wa maendeleo ya jamii BACHELOR OF ARTS IN COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT(BA-CED),Napenda sana kuwa mwalimu,kama utakuwa tayari ni pm.

BA-CED ya MUCCoBS?
 
Jamani wana jimvi nimemaliza shahada ya ualimu ila nataka kuunga ila kwa kubadilisha course kwasababu sikuwa na wito wa kufundisha ila niliingia ualimu kwa madhumuni ya kupata mkopo na sikitu kingine.sasa jamani niombe course gani nzuri kwa ajili ya masterz.nawakilisha.

Rafiki hapo unatakiwa kuwa makini sana kwan kuna watu wengi wanamaliza degree za ualimu tena wa masomo ya art halafu wanaenda kuchukua MBA. Yaan huwa ni kituko coz hata ukiwa na MBA bt km hauna background ya masomo ya biashara no one will hire you.ushauri wangu ni kwamba km ulifanya degree ya education katika nasomo ya biashara au hesabu then ukifanya masters ya business related fields utakuwa sahii.bt kn degree yako ni ya education katika masomo ya arts then ni vema ufanye masters ya education coz unaweza hata kufundisha vyuo au ufanye MPA or masters of development studies.
 
Clearing and Fowarding pale The Global Training college mkabala na Hoteli ya
 
Wewe naona ujana unakusumbua kumbuka ukiwa na masterz ajira unatakiwa kuwa na uzoef sichn ya 5yr utaupata wapi,anaAnaye kwambia kuwa mshahara wa mwl ni mdogo ameulinganisha na wanani serikalini
 
Wewe naona ujana unakusumbua kumbuka ukiwa na masterz ajira unatakiwa kuwa na uzoef sichn ya 5yr utaupata wapi,anaAnaye kwambia kuwa mshahara wa mwl ni mdogo ameulinganisha na wanani serikalini

Napenda sana watu wenye mawazo kama haya!...
 
Ushauri wangu kwako ni huu, kasome Msc HRM.Itakua nzuri zaidi kama utaenda kufanya kazi ya ualimu huko ulikopangiwa, ili hyo kozi usome ukiwa kazini, i mean usome evening class kama uko mjini. Hii itakupa nafasi ya kusoma ukiwa kazn, so kazi somehow itakusuport. Kwahyo utajikuta unamaliza masters ukiwa na kazi. Hii itakusaidia kutafuta kazi ukiwa ndani ya kazi, bila stess. Waswahili wanasema acha kazi ili uone ilivyo kazi kupata kazi

kama kapangiwa liwale huko hiyo evening class itatoka wapi? cha msingi aende kazini kwanza aka ripoti then ajipange atoke vipi...huo mshahara wa ualimu japo ni mdogo lakini ni mtamu wewe.
 
Back
Top Bottom