Nachukua nafasi hii kutoa malalamiko yangu kwa wana jamii,
Siku ya leo kampuni ya TanzaniteIne Mining LTD iliyoko Mirerani Mkoani Manyara imeleta wahariri na waandishi wa habari takribani 20 kwa ajili ya kuja kuandika habari zao kuwa hawana matatizo yoyote na wafanyakazi na wanakijiji...
Wawekezaji wamelata wahariri kutoka Dar na wanaingia hapo mgodini kesho jumatatu 14 march kwa lengo la kuzuia habari za uovu wa Tanzaniteone,kwa nini siku zote tangu wapewe mgodi hawajawahi kuwaleta?Lengo lao ni kuuuwa habari za uovu wa Tanzanite one maana mhariri ndiye mwenye maamuzi ya kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.