Watu kadhaa wafukiwa na kifusi wakiwa wamelala ndani

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
4,911
3,082
Watu wanne wamefariki baada ya kufukiwa na kifusi katika eneo la Kawe Ukwamani kwa kwandobe Kawe jijini Dar es Salaam.

Waliofariki ni mfanyakazi wa ndani, watoto wawili na baba mwenye nyumba.

Udongo uliporomoka.

Wengine watano wamejeruhiwa.

11204481_883123345131974_7488939434552047692_n.jpg
 
Mvua kwa Dar ni laana tu, ingekuwa ni uamuz wa wanadamu ilibidi mvua isitishwe kunyesha Dar kabisa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ni tatizo la kujenga mabondeni
Mtu mwenye uwezo wa chini Dar atajenga wap zaidi ya mabondeni? Huu mji sio rafiki kwa masikini na bahat mbaya Tanzania hii hakuna mamlaka ya kupanga kodi za nyumba so nyumba za kupanga ni ghali sana, .

Duc In Altum.
 
Watu watano wamefariki baada ya kufukiwa na kifusi katika eneo la ukwamani Kawe jijini Dar es Salaam.

Waliofariki ni mfanyakazi wa ndani, watoto watatu na baba mwenye nyumba.

Udongo uliporomoka.
 
Kwa hiyo walikuwa wamelala kwenye shimo la mchanga ndiyo wakafukiwa
Walikuwa wamelala ndani ya nyumba yao kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ikatokea maporomoko ya mchanga/kifusi kilichofanya kuporomokea kwenye nyumba hiyo inayosemekana ilijengwa bondeni
 
Mvua kwa Dar ni laana tu, ingekuwa ni uamuz wa wanadamu ilibidi mvua isitishwe kunyesha Dar kabisa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mzee mbona viroba vinakupa wenge...yaani mvua ambayo ni chanzo cha uhai imekuwa laana...nani kakwambia ujenge mabondeni..kama mji umekushinda rudi nyumbani tu mzeee
 
Kufanya dhihaka kwenye mambo yasiyostahili husomeki vizuri.
Jukwaa hili ni kwa mambo ya faida na siyo miziha hata kwenye vifo.
Leo ni yeye na nani ajuaye kesho atakuwa nani?
 
Mtu mwenye uwezo wa chini Dar atajenga wap zaidi ya mabondeni? Huu mji sio rafiki kwa masikini na bahat mbaya Tanzania hii hakuna mamlaka ya kupanga kodi za nyumba so nyumba za kupanga ni ghali sana, .

Duc In Altum.

Miji yote haina urafiki na maskini
 
Back
Top Bottom