Mak Jr
JF-Expert Member
- Nov 24, 2015
- 439
- 305
Wana JF naombeni mnijuze kuhusu madaraja anayojaziwa mtu kwenye lesen ya udereva.
Unakuta mtu anajaziwa daraja A,A2 bila kujaziwa A1 na A3, sasa je vyombo vya moto hujajaziwa huruhusiwi kuendesha??
iv je ni kweli kuwa ukiwa class C bila kujaziwa madaraja mengine inaruhusiwa kuendesha gar lolote??