GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,415
- 127,507
Hiyo barabara kutoka hapo Afrikana mpaka njia panda ya wazo sijui kuna kiumbe gani kimefichwa kwa chini
Halafu Huwezi Amini Hicho Kipande Kina MAKANISA Mengi YALIYOTUKUKA Kimaombi Sasa Sijui SHETANI Huyo Kawashinda Na Nguvu Zao Wamezielekeza Tu Kutudai SADAKA, DHAKA Na FUNGU LA KUMI Ambapo Usipotoa Hubarikiwi Ng'o!