Kuna dogo hapa ndani umemkataza kufanya hikii baada ya sekunde 5 kashika hilii.. yaani ni mwendo wa kuongeaa mpka ehhh unaona labda nimshtue na kakofi atashtuka.. lakini wapii sekunde 20 baada ya kofi cycle inarudiaaa😂 inabidi ucheke tuu unamuachaa.. ukimuachaa tuu jiandae na loss
Serikali ni chombo cha kutendea… yeeye Jukumu lake ni kudai, kusimamia, na kuhakikisha serikali inatekeleza majukumu yake kwa wananchi wa jimbo lake. Hawana maendeleo kwa maana hamna anaye wadaia maendeleo yao.
Pitia kila chaguo huez kosa njia ipo[emoji3][emoji3] ila nahisi sometimes kuna sisi wateja shida kidogo tuu tunawatwangia Wanaonga huyu kero ngoja tumuekee menyu yenye haina “bonyeza sufuri kuongea na mtoa huduma wetu”[emoji24][emoji1787][emoji1787]
Mbona 5000 ingetosha kabisa kula vyote hvoo..
Ngano robo 300 ( nilipo kg ni 1200)
Nyama robo 1500( nilipo kg ni 6000)
Parachichi na embe 1000( kwaajili ya juice)
Maji 1000
Vocha 1000
Jumla =4800/=
Kwenye 7000 umesave 2200 .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.