Recent content by RICH MAVOKO

  1. RICH MAVOKO

    Ccm na mfumo wa kifalme

    chama kilichojichokea na dhaifu cha mizigo almaalufu ccm kinaongozwa kwa kurithishana madaraka mithili ya enzi za machifu na hakuna nafasi kwa watoto wa maskini kupata madaraka.january makamba,vita kawawa,nape nnauye,ridhiwani kikwete,fredrick lowassa,hussen mwinyi na wengi wengi ni matokeo ya...
  2. RICH MAVOKO

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    Zitto hata aende the hague...chadema tumeshamng`oa
  3. RICH MAVOKO

    Mbowe Ameshinda, CHADEMA imeshinda, Zitto Ameshindwa, na "kweli" haijapata shindwa.

    Nadhani lile swali la siku kumi na nne limejibiwa.wanaoona Zito anaonewa wamsaidie kuanzisha chama chake.sisi wanachama makini tupogo,asante kamati kuu
  4. RICH MAVOKO

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Zito kama ni gwiji la siasa aanzishe chama chake.
  5. RICH MAVOKO

    Mapenzi basiii!!!

    Wadau nimeamua kuachana na mapenzi ili kuinusuru roho yangu.kuna jirani yangu mmoja alikuja kwangu asubuhi kwa vile nilikuwa na mazoea nae nikamkaribisha mpaka ndani but nilishangaa kuja kwangu akiwa na khanga moja alifika na kutupa khanga na akaanza kucheza na kukata mauno mbele yangu ...daah...
  6. RICH MAVOKO

    Mwanamke: Dalili kwamba mwanaume uliye naye si wako peke yako....!

    Ukiona dalili hizi kwa mwenzi wako jua mko wengi 1.Simu yake kaweka pincode na wala hataki ujue password zake. 2.Anachart muda wote ila inbox yake iko empty 3.Hajasave jina lako kwenye simu yake 4.Kila unapokuwa nae anaiset simu yake silent pengne kuizima kabisa 5.Hapendi uishike simu yake...
  7. RICH MAVOKO

    Hivi inakuwaje??

    Unapaswa kumwambia,maskini roho yangu niachie we nenda zako
  8. RICH MAVOKO

    Ujenzi wa jamii mpya

    Umetisha sana
  9. RICH MAVOKO

    Ujenzi wa jamii mpya

    Tanzania ni nchi yetu sote bila kujali tofauti zetu,naomba tuweke kando tofauti zetu za kivyama na tujadili ujenzi wa taifa letu kwa miaka 50 ijayo.nini kifanyike ili tanzania isonge mbele. Tanzania kwanza,vyama baadae
  10. RICH MAVOKO

    Fedha na athari zake katika mahusiano

    Ni ukweli ulio dhahiri kuwa fedha inaendesha maisha yetu hali kadharika hata mahusiano katika maisha yetu ya kila siku.WANAUME,tumekuwa tukifanya kazi kwa bidii ili kutafuta pesa kwa ajili ya maisha na wenzi wetu hali hii hutufanya kuwa busy sana na pengne tunalazimika kuwa mbali na wenzi...
  11. RICH MAVOKO

    Mambo ambayo wanaume tunakosea wakati wa kutongoza

    1.PAPARA wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako. 2.KUJIFAKE...
  12. RICH MAVOKO

    Kifo cha CCM kimetimia

    Huo ndo ukweli.mnalazimisha akinana mama wabakwe na kulawitiwa.hamsalimiki 2015
Back
Top Bottom