Whata if CCM wote ni Mzigo kuanzia kwa dhaifu?Watatafuta mizigo mizito zaidi?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Najaribu fikiria haya maigizo ya magamba, nowdays mizigo.Naangalia kuanzia kwa dhaifu ,nashindwa elewa itakuweje km Dhaifu ni mzigo(Na ni Mzigo),kuelekea chini ni mizgo tupu?

Je Mizigo itajipima vipi sasa?Watajipima kwa uzito wa mizigo?Wahat if km mzigo mzito utakuwa dhaifu je CCM watajinasua vipi?

CCM wamebadili sana frame ila Picha ni ileile,yaani dhaifu ni yule yule na taabu zinaendelea.wametafuga gamba wapi,wakaefuata mafisadi wapi, wamefuata vihiyo wapi, sasa ni mizigo.May Be tutahitaji Mnyika aje tena kuwasaidia CCM kupata Mizigo mizoto kwanza kabla ya kuondoa miepesi.
 

CHIGANGA

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
610
0
Ubongo wako ni zigo zito,tua kwanza umasikini wa akili zako mizigo,ili ujadili namna ya kuondokana na mzigo wa maskini katika familiya yako,na hatimae ujadili maendeleo yako na familiya,acha umzigo wa kichwani mwako.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Ubongo wako ni zigo zito,tua kwanza umasikini wa akili zako mizigo,ili ujadili namna ya kuondokana na mzigo wa maskini katika familiya yako,na hatimae ujadili maendeleo yako na familiya,acha umzigo wa kichwani mwako.

km haikuwa muhimu kwa mizigo ktk office zinazokula kodi yetu ,huku zikitudhuru..basi hata mizigo wenyewe wasingepoteza hela wanayoipenda ..na wanayooiiba ili kutuambia kuwa kuna mizigo inashushwa ili karandika liweze kwenda.

BY the waya hiyo mizgo tunabeba sisi,na hivyo huo umasikini binafsi hatuna uwezo wa kuutoa.Umasikini wa akili unao wewe usiojua wapi unakwama ,au wapi kuna mzigo mkubwa usio na malipo.
 

Diwani Unga Ltd

Senior Member
Oct 12, 2013
149
195
Nakumbuka hotuba ya bwana kagasheki ilisema kwamba anajiuzulu kwa makosa NA uzembe WA watendaji waliopo chini yake naamini hata yeye kuna mtu yupo juu yake kwanini NA yeye asiachie ngazi kwa uzembe WA watendaji waliopo chini yake I mean akina kagasheki?? NA zaidi ya yote huyo alowateua nae Indie alipaswa kuwajibika zaidi
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
By Ritz

na wewe ni mzigo wa aina gani?Mzigo mpana, mzigo mzito au mzigo wa uchafu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom