Recent content by Ricecooker

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    W ngapi boss
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Majengo kupitia luku rasmi Vijijini

    Mimi nawapongeza kwa kuwakata,kila MTU achangie Uchumi wa nchi hii.Mbona wa mjini wamewezesha REA kwa muda wote.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo Elimu ya Juu: Hatimaye Value Retention Fee 6% yaondolewa

    Ni kweli wangetukata hata 20% ambapo deni unamaliza mapema.Mimi iyo asilimia 15 ibaki maana nimebakiza 3.8 mil,deni likikaa muda mrefu linaathiri Mikopo ya Benki maana Makato yanaongezeka kadri ya nyongeza ya mshahara.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Taja vinywaji ambavyo huwezi kunywa maisha

    Mimi nilikunywa Valuu Ile chupa kubwa,nilivyoamka asubuhi nimesahau hata nyumbani nilifikaje.Nikijisachi pesa ipo,nguo nilizovaa ni safi,Simu ninayo.Nikashindwa kuelewa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je, Mjukuu ana haki gani katika Urithi wa Babu?

    IZo Mali ni za hao mamwamba Wawili waliobaki,huyo mjukuu itategemea busara za hao jamaa.Ukileta Vita hutapata kitu,jinyenyekeze ule mema.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dada wa baba yangu wanafuatilia mali alizoacha kaka yao

    Hivi ni Nani aliyewakalilisha watanzania kuwa ardhi haiuzwi?Mali yoyote inauzika,hata Leo ukiwa na pesa ukiingia USA watu wanauza ardhi/nyumba sembuse hapa bongo.
  7. R

    JamiiForums Tanzania HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

    Siku akikugeuka utaipata fresh,haina haja ya kukimbia lipa tu taratibu litaisha.Mimi nalipa laki 1 Kila mwezi na zimebaki milion 4,hivyo siishi Kwa wasiwasi na mikwara Yao.Ila Kwa mfumo waliouweka now hata ukimiliki nyumba 20 watajua tu hasa Kwa watumishi WA umma wanaofisadi unless uandikishe...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tuhuma wizi wa Tsh. Milioni 44 Chama cha walimu Nyamagana

    Wacha waliwe tu,unakubalije kukatwa mshahara wako kwenda CWT.Mbona Kada nyingine ni hiyari kujiunga!!!Mtaendelea kupigwa na wajanja then watawapoza matisheti ya cwt.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nahisi nilitwika jini mzigo

    Inawezekana wema wako ulikusaidia!!ungekataa mzigo ungekuwa wako.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

    Sasa hapo hasara itakuwa Kwa hao vijana, maana waliopewa mgao kama mawakili na wadau hawawawezi kurudisha pesa. Hapo mwana FA na AY inabidi wahangaike wenyewe ikiwemo kuwalipa mawakili upya. Nilichogundua mawakili wengi ni watoto WA mjini
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ajira Dodoma

    Wafanya usafi Tangazo lao mpaka liwe la lugha ya kimombo.Aya wapigeni vijana wetu.
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada: Baba yangu amechukua mkopo kwa dhamana ya nyumba niliyowajengea na ameshindwa kurejesha mkopo, ameniomba nimsaidie...

    Kuna jamaa amepandisha uzi kuwa usimsaidie maskini mwache afe.Nimeukumbuka ule uzi,dogo ataendelea kuwa kwenye poverty circle.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu tupe hatma ya shamba letu la mifugo la Utegi - Rorya mkoa wa Mara

    Shamba lako na Nani wewe??nunua mashamba yako binafsi period.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini NSSF wanahitaji 'Bank Statement' ya Mwanachama?

    1.Kujua uhai WA account yako 2.Kujiridhisha pasiko Shaka juu ya umiliki WA account ikiwemo majina uliyotumia kusajili, Je yanafanana na majina uliyosajilia NSSSF
Back
Top Bottom