Recent content by Reykijaviki

  1. Reykijaviki

    Fatma Karume: Wamasai waheshimu Sheria zetu Wazanzibar

    Yule Babu yake ni Mmalawi alikuwa anaitwa MARUME alivyofika Zanzibar ndio akabadili Kuwa KARUME.[emoji16]
  2. Reykijaviki

    Fatma Karume: Wamasai waheshimu Sheria zetu Wazanzibar

    Hawa Kama vipi hata huku bara tuwatimue warudi Kwao yaani wazanzibar chao chao chetu chao
  3. Reykijaviki

    NIDHAMU IMEHAMA

    No nidhamu kama hii kenge
  4. Reykijaviki

    Basi gani linalotoka Mbeya kwenda Masasi/Mtwara?

    Super feo bus kubwa na vipisi huwa wanaenda Mbeya so wanapitia Makambako, Njombe, Madaba, Songea,Namtumbo, Tunduru, Nakapanya, mangaka, then masasi
  5. Reykijaviki

    TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

    Hawa TUKUTA hivi huwa kweli wanatetea wafanyakazi au serikali?!!
  6. Reykijaviki

    LHRC: Vyombo vya Haki Jinai vitekeleze mapendekezo ya tume

    Tume imejazwa maaskari polisi sijaona hata sehemu moja polisi wametajwa uchafu wao kwa kifupi hiyo tume ya Chande ni uchafu mtupu
  7. Reykijaviki

    Udanganyifu NHIF, Ndugu Waoana Wapate Kadi ya Bima

    Na Bado watu watafoji sana maana wanawalazimisha nani aingie kwenye bima badala ya mtu kuachiwa amue nani anamuweka
  8. Reykijaviki

    Kinachotokea Afrika Kusini na Kenya inaweza kuwa sawa na Arab Spring kwa nyingine za Afrika

    Mmarekani mshenzi sana kaona viongozi wa Afrika wanaenda Urusi kwenye mkutano kahonga viongozi wa upinzani wafanye maandamano the same day. Wapuuzi kabisa
  9. Reykijaviki

    Wafatiliaji wa Big Brother Titans SA tukutane hapa hadi final

    Washiriki toka Tanzania hakuna kama hawapo wewe endelea kuangalia utatuambia nani mshindi
  10. Reykijaviki

    DOKEZO VIDEO: Wazazi angalieni Walimu Shule ya Sekondari Majaliwa

    Tunatengeneza kizazi hatari sana sasa hapo kosa la mwalimu au walimu liko wapi matoto hayachapwi Ndio maana yanageukia tabia za ajabu ajabu kama kuvuta bangi usagaji, ulevi nk so binafsi fimbo inamrudisha mtoto mahali pake.
  11. Reykijaviki

    DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Mwenzake TISS Diwani Athumani imekula kwake mwache mama Samia ale kichwa
  12. Reykijaviki

    Hili jambo la mabehewa liundiwe tume

    Nilivyoona tu yamefungwa kwenye foili paper au mifuko ya plastic nikajua tumepigwa, ila watanzania tusipoamka tutaendelea kuchezewa na CCM
  13. Reykijaviki

    Bungeni: Zungu ashauri ukusanyaji wa mapato kupitia Data

    Hili zee jinga sana, linaropoka tu kisa linaishi kwa kodi zetu, halijui uchungu wa tozo
Back
Top Bottom