NIDHAMU IMEHAMA

Deghe Mangae

Senior Member
Mar 3, 2020
171
149
Asha kumu si matusi,hivi ni kwa nn
Vijana wengi sasa hawana nidhamu?
Mtu anajinadi yy ni msomi halafu anaongea utumbo sipati picha kabisa
Au silabasi zao mashuleni kuna topic za
Matusi?kwenye hii mitandao ya kijamii
Kila unapo gusa lazima utakuta matusi tena ya nguoni
Najiuliza tuna kizazi cha namna gani
Hivi kweli kesho mtoto wa aina hiyo kesho
Unamkuta ofisini unafikiri atakupa huduma ipasavyo?
Wazee wenzangu hebu tujiulize hiki ni
Kizazi gani?
Nidhamu ndiyo msingi wa mambo
Yote Duniani mpaka mbinguni leo hii
Baadhi ya vijana nidhamu imepotea kabisa. Ndugu zangu wazazi kazi tunayo
Kama siyo wazazi makundi haya ni shida
Hasa huko mashuleni
Unajiita Doctor halafu nidhamu huna
Napata ukakasi mkubwa sana kumbuka
Hata kama umesoma na kupitiliza kama
Nidhamu huna ww ni mzigo ndani ya JAMII FORUM mpaka ndani ya jamii nyingine za KITANZANIA
 
Huwezi kupata nidhamu kwa hawa wanaowaona wazungu kama Miungu yao ,kule watu hawana adabu ya kuongea eti uhuru wa maoni.

Unaona maongezi tu hata mavazi yote ynatokea huko.
 
No nidhamu kama hii kenge
6ff7100a-3f86-4d5e-afa3-b8c864e36fde.jpg
 
Back
Top Bottom