Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 857
- 2,241
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir ameunda kamati mpya ya mwandamo wa mwezi, huku mabadiliko hayo yakimtoa madarakani aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam na aliyekuwa Katibu wa kamati hiyo, Alhad Mussa Salum.