Recent content by Reuben 26

  1. Reuben 26

    Serikali Mkoani Shinyanga yakamata kadi 267 za "ATM" za Watumishi wa Umma kwenye Taasisi ya kukopesha fedha

    Mbona bank hawakopeshi bila ya kua na dhamana ya nyumba ama kiwanja tena wanakagua mpaka kitanda unacholalia na pia mtu unaenda kukopa mwenyewe haulazimishwi ila mlioajiriwa sie tusio na ajira mbona tunatoboa miezi yote bila kudaiwa hata mie r.i.p dr reginald mengi uliajiriwa baadae ukajiajiri...
  2. Reuben 26

    Friji (Hisense ) linauzwa laki 2 Na nusu

    Duh tatizo niko mbali mlioko dar furusa hiyo
  3. Reuben 26

    Kwanini msafara wa gari za CHADEMA huamsha watu sana?

    Nimeziona leo songea town chama la wana
  4. Reuben 26

    TBC Mnatuvunja Moyo Jamani

    Simiyu ndo home town yangu
  5. Reuben 26

    Ushauri kwa mabinti

    Uchoyo unakusumbua hujui ndugu ni baraka na kuhusu mtoto ni muhimu tena wamekuhurumia ilibidi ndani ya mwezi1 uwe na mimba tayari
  6. Reuben 26

    Ushauri kwa mabinti

    Acheni roho mbaya mbona sie kina nyanda mnatuonea sana mbona ni watu poa tu
  7. Reuben 26

    Ushauri kwa mabinti

    Uongo hao ni wasukuma gani unao wasemea hamna mtu mkalimu kama msukuma tena tuna upendo wa dhati kama.upo songea sema nikuweke ndani
  8. Reuben 26

    Maamuzi ya Kijinga Yananigharimu

    Hahahahah huyu ana akili kama za kwangu maana hela ndo nimechanjiwa msukuma wa simiyu hapa
  9. Reuben 26

    Sitasahau mwaka 2002 ndugu yangu alipochunwa ngozi wilaya ya Mbozi wakati huo ilikuwa mkoa wa Mbeya

    Duh pole baada ya kukamatwa hao wauaji hiyo ngozi mlikabidhiwa mkazike ama ilikuaje
  10. Reuben 26

    Natabiri

    Back to school cocroaches Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Reuben 26

    Natabiri

    Okay ni asilimia ngapi wapo na hivyo vitambulisho vya taifa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Reuben 26

    Natabiri

    Habari ndugu zangu kutokana na ajenda inayotuchanganya na inayoashiria umasikini ni hii inshu ya kusajili laini kwa njia ya kisasa hasa kwa finger print na kua na kitambulisho cha utaifa wa tanzani ili hali ni asilimia 0.7 ndo wenye vitambulisho hivyo nini lengo lao hasa maana yake ni kwamba...
  13. Reuben 26

    Tuliowahi kukutwa na hiki kisanga tukutane hapa

    Bariadi sehemu gani mie marambo kwa sasa niko songea lizaboni Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Reuben 26

    Tabia hizi za wageni zinakera

    kwa wasiojua na wenye roho ngumu mkae mkijua mgeni asipofika kwako itabidi ujiulize sana kwa sisi wasukuma mpaka unajiuliza kwanini sipati wageni maana mgeni ni baraka kwako anapofika kwako ni baraka tosha kabisa tubadilike Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Reuben 26

    TCRA na usajili wa laini kwa alama za vidole

    Hii sasa kali maana itamlazimu mtu abakie na line moja tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom