Sitasahau mwaka 2002 ndugu yangu alipochunwa ngozi wilaya ya Mbozi wakati huo ilikuwa mkoa wa Mbeya

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Mwaka 2002 mkoa wa Mbeya kabla haujagawanywa kuwa mikoa miwili yani Songwe na Mbeya ilikuwa asubuhi nilipopokea simu kunitaarifu kuwa ndugu yangu amekutwa amechunwa ngozi kijiji cha Isansa wilaya ya Mbozi.

Nilikurupuka kwenda eneo la tukio nikakuta watu wengi wakisubiri polisi wafike. Nilipomtazama mwili wake wote ulikuwa mwekundu na hakuwa na jeraha lolote zaidi ya uvimbe kisogoni.

Ngozi ilivuliwa kuanzia shingoni hadi miguuni kama nguo vile maana walivyokuwa wanachuna unapigwa na kitu kizito kichwani kabla haujafariki wanakuchoma sindano ngozi inaumuka inaachana na mwili hivyo wanakuja kukata shingoni na huku mikononi alafu wanaivua kama nguo huku ukiendelea kutapatapa. Baada ya hapo wanaiweka dawa isiharibike then wanasepa hivyo tulikuta ashafariki muda mrefu.

Polisi walikuja na kuruhusu tukazike. Baada ya siku nne wale wachunaji walikuwa wako Vwawa ambayo sasa hivi ni makao makuu ya mkoa wa Songwe Wilaya ya Mbozi.

Walikuwa guest house wakisubiri wafanye biashara USD 30,000. Wakati mhudumu wa guest anafanya usafi akasikia harufu isiyo ya kawaida na kwenda kuripoti ndipo walipokamatwa na kupelekwa kituoni.

Ngozi ilikuwa imehifadhiwa kwenye kopo. Wengi tulikusanyika kushuhudia lile tukio, wakaitoa nje watu tukaiona.

Taarifa zikasambaa kuwa kumbe ni boss mmoja pale Vwawa ndiye ilikuwa biashara yake. Alikuwa na vituo vya mafuta, shule, magari nk

Inaaminika Polisi walipoenda akawapa bakishishi wakapiga kimya. Matukio ya uchunaji yaliendelea baadaye yakapotea hadi leo. Wapo waliodai ngozi ile ilikuwa inauzwa Congo.

Hadi leo sijui wale watuhumiwa walifungwa wapi lakini sasa hivi ni full amani hakuna tena uchunaji.
 
Mwaka 2002 mkoa wa Mbeya kabla haujagawanywa kuwa mikoa miwili yani Songwe na Mbeya ilikuwa asubuhi nilipopokea cm kunitaarifu kuwa ndugu yangu amekutwa amechunwa ngozi kijiji cha isansa wilaya ya mbozi nilikurupuka kwenda eneo la tukio nikakuta watu wengi wakisubiri police wafike nilipomtazama mwili wake wote ulikuwa mwekundu na hakuwa na jelaha lolote zaidi ya uvimbe kisogoni ngozi ilivuliwa kuanzia shingoni hadi miguuni kama nguo vile maana walivyo kuwa wanachuna unapigwa na kitu kizito kichwani kabla haujafariki wanakuchoma sindano ngozi inaumuka inaachana na mwili hivyo wanakuja kukata shingoni na huku mikononi alafu wanaivua kama nguo huku ukiendelea kutapatapa baada ya hapo wanaiweka dawa isiharibike then wanasepa hivyo tulikuta ashafariki mda mrefu police walikuja na kuruhusu tukazike baada ya siku nne wale wachunaji walikuwa wako vwawa sasa hivi nimakao makuu ya mkoa wa songwe wilaya ya mbozi walikuwa guest wakisubiri wafanye biashara USD 30000 hivyo wakati mhudumu Wa guest anafanya usafi akasikia harufu isiyo ya kawaida na kwenda kulipoti ndipo walipo kamatwa na kupelekwa kituoni na hiyo ngozi ilikuwa imehifadhiwa kwenye kopo basi watu tulikusanyika kushuhudia liletukio waliitoa nje watu tukaiona taarifa zikasambaa kuwa kumbe ni boss mmoja pale vwawa ndio ulikuwa biashara yake alikuwa na vutuo vya mafuta shule magari nk ndio alikuwa anatikisa lakini police walipoenda akawapa bakishishi wakapiga kimya matukio ya uchunaji yaliendelea badae yakapotea hadi leo wengine walidai ngozi ile ilikuwa inauzwa Congo hadi leo sijui wale watuhumiwa walifungwa wapi saivi ni full amani hakuna tena uchunaji
Pole sana
 
Duh pole baada ya kukamatwa hao wauaji hiyo ngozi mlikabidhiwa mkazike ama ilikuaje
 
Du watu wengi walichunwa ngozi kipindi hicho . wengine walikamatwa hotel ya Mwanitu pale tukuyu mjini . tajiri mnunuzi ilikua atokee Malawi ,alichelewa kufika ,wahudumu walishitukia na kutoa taarifa polisi, wachunaji walikamatwa , ilikua ngozi ya mtoto umri wa shule ya msingi
 
Nakumbuka enzi hizo ndio tulikua tunahamia mbozi yaani ilikua saa kumi na mbili unusu uwe home but now ni full aman
 
Mwaka 2002 mkoa wa Mbeya kabla haujagawanywa kuwa mikoa miwili yani Songwe na Mbeya ilikuwa asubuhi nilipopokea cm kunitaarifu kuwa ndugu yangu amekutwa amechunwa ngozi kijiji cha isansa wilaya ya mbozi nilikurupuka kwenda eneo la tukio nikakuta watu wengi wakisubiri police wafike nilipomtazama mwili wake wote ulikuwa mwekundu na hakuwa na jelaha lolote zaidi ya uvimbe kisogoni ngozi ilivuliwa kuanzia shingoni hadi miguuni kama nguo vile maana walivyo kuwa wanachuna unapigwa na kitu kizito kichwani kabla haujafariki wanakuchoma sindano ngozi inaumuka inaachana na mwili hivyo wanakuja kukata shingoni na huku mikononi alafu wanaivua kama nguo huku ukiendelea kutapatapa baada ya hapo wanaiweka dawa isiharibike then wanasepa hivyo tulikuta ashafariki mda mrefu police walikuja na kuruhusu tukazike baada ya siku nne wale wachunaji walikuwa wako vwawa sasa hivi nimakao makuu ya mkoa wa songwe wilaya ya mbozi walikuwa guest wakisubiri wafanye biashara USD 30000 hivyo wakati mhudumu Wa guest anafanya usafi akasikia harufu isiyo ya kawaida na kwenda kulipoti ndipo walipo kamatwa na kupelekwa kituoni na hiyo ngozi ilikuwa imehifadhiwa kwenye kopo basi watu tulikusanyika kushuhudia liletukio waliitoa nje watu tukaiona taarifa zikasambaa kuwa kumbe ni boss mmoja pale vwawa ndio ulikuwa biashara yake alikuwa na vutuo vya mafuta shule magari nk ndio alikuwa anatikisa lakini police walipoenda akawapa bakishishi wakapiga kimya matukio ya uchunaji yaliendelea badae yakapotea hadi leo wengine walidai ngozi ile ilikuwa inauzwa Congo hadi leo sijui wale watuhumiwa walifungwa wapi saivi ni full amani hakuna tena uchunaji
Huyo boss ni Ch...la aka I..si? Au mwingine?
 
Kuna tajiri mmoja huku mbeya nilisikia alimchuna mwanae nadhani ndo huyu uliomongelea hapa.
 
Back
Top Bottom