Ushauri kwa mabinti

Ushauri kwa mabinti

Tafuta wahaya wanajua kupenda
Mi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??
Walinikela nimeolewa baada ya miez 2 wakwe wanauliza Kama nimeshapata mimba au bado
____ binafsi nimezoea Kila mtu anakula sahan lake Sasa hawa ndugu zangu tupo 5 lkn tunakula sahan moja na wanavyokula Sasa mtu anajilamba vidole vyote then anachovya tena wenyewe wanaamin kula tofauti ni uchoyo...
Napenda ndoa na mume nampenda bt tabia zimenishinda
kibaya zaidi ukute mume yupo upande wao utalia
 
Aahahahahah una haki shoga ya kukimbia
yan hujaelewa kwetu tulikua tunakula Kila mmoja sahan lake ila nimeolewa mume hataki anadai ni uchoyo so wote mnakula bakuli moja sahan moja
 
Hahahaha mm ndo kabisa wa kabila langu siwataki wabahili hatar hahahhaha
Wa kabila langu simtaki ...wasukuma siwataki...wakurya siwataki ...wamasai pia siwataki ....

Naruhusu povu kadri sabuni inavyoruhusu
 
Wasukuma wazuri kuchepuka nao tu lakini kukumiliki labda awe amesoma au ametembea sehemu tofauti tofauti

Wana shida ya kusombana familia nzima hivyo basi mnaweza kuwa mmeshakula mara paap wanaingia ndugu wa mumeo mama utarudi jikoni uwapikie kwa siku unaweza kupika hata mara nne,,,,,, hilo moja

Wanapenda kurundikana kwa ndugu yao hasa upande wa mume yaani unaweza kuta mmepanga chumba na sebule lakini wakaja ndugu zaidi ya watano wakikuta na tv sasa heheheheeee hawaondoki ng'o unakuwa unafanya kuwapikia tu

Wasukuma wengi wakishakuoa wewe kwake ni km mfugo sio mke,,, kifuatacho ni kupatiwa ardhi ukalime

Mke wa msukuma yeye ni jembe begani kuni zake kuchunga yeye majukumu yote ya kifamilia kuanzia kutafuta chakula na kulea watoto ni la mwanamke,,, mwanaume anaonekana wakati wa mavuno tu
Uongo hao ni wasukuma gani unao wasemea hamna mtu mkalimu kama msukuma tena tuna upendo wa dhati kama.upo songea sema nikuweke ndani
 
ninamtoto wa kike kati ya vitu nitakua namwambia akikua asije olewa na msukuma labda awe wa mjini
...yeye anaweza kua wa mjini ila ndugu zake Sasa!!!
Acheni roho mbaya mbona sie kina nyanda mnatuonea sana mbona ni watu poa tu
 
Mi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??
Walinikela nimeolewa baada ya miez 2 wakwe wanauliza Kama nimeshapata mimba au bado
____ binafsi nimezoea Kila mtu anakula sahan lake Sasa hawa ndugu zangu tupo 5 lkn tunakula sahan moja na wanavyokula Sasa mtu anajilamba vidole vyote then anachovya tena wenyewe wanaamin kula tofauti ni uchoyo...
Napenda ndoa na mume nampenda bt tabia zimenishinda
kibaya zaidi ukute mume yupo upande wao utalia
Uchoyo unakusumbua hujui ndugu ni baraka na kuhusu mtoto ni muhimu tena wamekuhurumia ilibidi ndani ya mwezi1 uwe na mimba tayari
 
ninamtoto wa kike kati ya vitu nitakua namwambia akikua asije olewa na msukuma labda awe wa mjini
...yeye anaweza kua wa mjini ila ndugu zake Sasa!!!

Acha kumwambukiza mtoto ujinga wako. Mwache akue afanye machaguo sahihi kwake. Wewe ndoa tatu zimekushinda, wote walikuwa wasukuma?
 
Wasukuma wazuri kuchepuka nao tu lakini kukumiliki labda awe amesoma au ametembea sehemu tofauti tofauti

Wana shida ya kusombana familia nzima hivyo basi mnaweza kuwa mmeshakula mara paap wanaingia ndugu wa mumeo mama utarudi jikoni uwapikie kwa siku unaweza kupika hata mara nne,,,,,, hilo moja

Wanapenda kurundikana kwa ndugu yao hasa upande wa mume yaani unaweza kuta mmepanga chumba na sebule lakini wakaja ndugu zaidi ya watano wakikuta na tv sasa heheheheeee hawaondoki ng'o unakuwa unafanya kuwapikia tu

Wasukuma wengi wakishakuoa wewe kwake ni km mfugo sio mke,,, kifuatacho ni kupatiwa ardhi ukalime

Mke wa msukuma yeye ni jembe begani kuni zake kuchunga yeye majukumu yote ya kifamilia kuanzia kutafuta chakula na kulea watoto ni la mwanamke,,, mwanaume anaonekana wakati wa mavuno tu
My dear hata wakielimika bado wanakuwa na huo usukuma ndani yao, very conservative.
 
Mtoa mada japo wewe nawe ni katatizo kidogo lakini ulichoongelea hata kama watakupinga ila kuna ka ukweli ndani yake. Mwanamke kuishi mwenyewe kwa muda mrefu na kuwa na mamalaka 100% juu ya maisha yake kunamfanya anakuwa na udume ndani yake.

Hata akiolewa hii hali itamtesa hadi uanamke wake urudi na aamue kuwa chini ya mwanaume. Hili tatizo wengi hawajaliona ila lipo na linachangia ndoa nyingi kuvunjiaka now days maana mwanamke nae anataka kuwa mwanaume ndani ya nyumba, ni kwasababu ya kuishi muda mrefu akijiamulia mambo yake.
 
ninamtoto wa kike kati ya vitu nitakua namwambia akikua asije olewa na msukuma labda awe wa mjini
...yeye anaweza kua wa mjini ila ndugu zake Sasa!!!
Mambo gani ya kuchafuana huku jf..wasukuma ni no.1 priority kwanza
Wakarimu,wapole,wanajua kupenda nakuthamini,sio wachoyo,giants,wanapenda family,watafutaji wengine wataongezea

Wabeja sana.
 
Yote hayo mnayo ni kweli tunachosema hapa ni kutojua kwenu kumthamini na kumtunza mke sio mwanamke!

Back
Top Bottom