Recent content by Renegade

  1. Renegade

    JamiiForums Tanzania HOJA Askari Polisi Wastaafu tulipwe stahiki zinazoendana na uhalisia, kiasi tunachopewa ni kidogo sana

    Acha tu, nina shemeji yangu kastaafu na cheo cha sajenti, pesa alizopata hazifiki hata milioni 20, baada ya miaka 30 kazini na cheo cha sajenti.
  2. Renegade

    JamiiForums Tanzania HOJA Askari Polisi Wastaafu tulipwe stahiki zinazoendana na uhalisia, kiasi tunachopewa ni kidogo sana

    Hata msipopewa stahiki zinazostahili kwani kuna shida gani? Nyie si mnaapa kuitumikia serikali ya CCM kwa uaminifu na kwa shida na raha? Kubali shida zenu, sisi wananchi hizi sio shida zetu.
  3. Renegade

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Mungu ni concept, ni cheo ambacho kinamtambulisha "the most high' being na pia hayuko peke yake kuna higher being wengineo. Being ni Energy, from Quatum physics perspective wewe na hata Mungu wote ni Energy,from LAaw of conservation of Mass "Matter can neither created nor destroyed", Meaning...
  4. Renegade

    JamiiForums Tanzania Dunia inaomba marais wote wangekuwa wanawake, Tanzania tumeitangulia dunia

    Huu ni utoto na njaa, ukikuwa, ukala,ukashiba na kuvimbiwa utakunya na kuacha.
  5. Renegade

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Hivi unajua kama na wewe ni Mungu? Niliandika hivyo kwa sababu sikutaka kuandika hivi ya kuwa nawe ndiye uliye.
  6. Renegade

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Kwa jibu lako, kama Mungu hakuumbwa na wewe hukuumbwa, uko kama yeye alivyo, Bila wewe Mungu hayupo na bila Mungu wewe haupo.
  7. Renegade

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Ukitaka kupata majibu kwanza jiulize MUNGU ni nani na ametoka wapi?
  8. Renegade

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Dhambi ni nini? Kwanini kuna dhambi? Lengo la uwepo wa mtu duniani ni nini na chanzo chake ni nini? Tuanzie hapo, Halafu tuangalie hukumu.
  9. Renegade

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Naamini kwa namna ya tofauti, siamini dhambi wala hukumu wala Moto! Ni mambo ya kufikirika.
  10. Renegade

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Yupo, ila kwa namna ya tofauti, yupo mpka wewe, lakini pia mambo ya hukumu ni ya kufikirika na vitisho vya dini.
  11. Renegade

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    imetoweka kama mawingu ya el nino.!
  12. Renegade

    JamiiForums Tanzania IPU yamtaja Rais Samia mfano wa Uongozi bora wa Wanawake

    Huyu huenda ni Bin Gagula.
  13. Renegade

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Kwani lazima iwe ni nchi? Labda yeye je?
  14. Renegade

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Maiti haina kichwa, labda waangalie tumbo.
  15. Renegade

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Imeshaingia gizani, kama dili zilivyofanyika gizani.
Back
Top Bottom