Faraja Kotta: Mume Wangu Anafaa Kabisa Tena Kwa...

Faraja Kotta: Mume Wangu Anafaa Kabisa Tena Kwa...

Asilimia Zote 100 Kuwa Rais Wa Tanzania Na Nitawashangaa Mno Ninyi Wasomi Msipompigia Chapuo Na Kumchagua". Haya Si Maneno Yangu GENTAMYCINE Bali Nimenukuu Maneno Ya Mke Wa Waziri Wa Utalii Faraja Kotta Nyalandu Pale Alipokuwa Akihutubia Ktk Kilele Cha Siku Ya Kimataifa Ya Wanawake Duniani Mbele Ya Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustine Mwanza.

Nini Maoni Yako???????

Karibuni!

Kwa hiyo faraja anataka kuwa first lady! Duh, yaani kama kwa Lundenga vile!
 
Ilikuwa ni siku ya wanawake au wanaume?! Au ndio kujipigia debe la u-first lady ki-aina?!! Huyo anataka tu WAMA like enterprise kwani alishaanza na NGO yake sijui inaitwa shule direct!! Anataka na yeye akakinge kiroba pale Stanbic!!

Sasa mbona hajatoa sifa za mumeo zinazomfanya kufaa kuwa Rais.

Asisahau na ile ya ujangiri ubadhirifu wa kugeuza mahoteli ya kitalii kuwa ofisi. Pamoja na ile ya rushwa anayopewa na makampuni ya uwindaji ya Marekani.
 
bora ww mke kakuambia angalau unaweza ukawa na busara kidogo coz unaishi na mke..!!!
njoo kwangu sasaaa ndio balaaaa kila mrax ninaye kuwa naye anang'ang'ania niwe raisi wa hii nchi

My wife wangu argument yake ati mbona Kikwete kaweza.........
 
Ni Huyu Huyu Na Si Mwingine,jiulize Na Wewe,majitu Huwa Haya Akili,walikaa Serious Na Kumsikiliza,kuwa Mtanzania Ni Aibu Sana.

nimepata hasira aisee haya bana wanaake ndiyo wengi yakaa kabisa kumsikiliza utumbo mfyuuuuu
 
Nyarandu hafai kuwa RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania labda urais wa UKWATA ndo anaweza. Tanzania nchi ya ajabu sana, mtu anaongoza Wizara inayoruhusu kuiba Twiga akiwa naibu Waziri leo nayeye anataka kuwa RAIS labda wa Aunt Ezekiel na huyu kipozeo chake Faraja si wa TANZANIA ya watanzania.
 
Takataka zingine hazifai hata kujadili..mwambie akagombee amerika ndo wanamtaka hata obama ni mweusi na asili yake ni kenya so pia kutoka tz. Inawezekana....my foot.
 
Kila nikikumbuka connection ya Nyalandu naishiwa pawa.!
 
nasikia jamaa ni mafia kweli kipindi kile ya scendo yake kwa mange alichafua hali ya hewa
 
Asilimia Zote 100 Kuwa Rais Wa Tanzania Na Nitawashangaa Mno Ninyi Wasomi Msipompigia Chapuo Na Kumchagua". Haya Si Maneno Yangu GENTAMYCINE Bali Nimenukuu Maneno Ya Mke Wa Waziri Wa Utalii Faraja Kotta Nyalandu Pale Alipokuwa Akihutubia Ktk Kilele Cha Siku Ya Kimataifa Ya Wanawake Duniani Mbele Ya Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustine Mwanza.

Nini Maoni Yako???????

Karibuni!
Labda anafaa kitandani kwake.
 
Back
Top Bottom