Recent content by Remark

  1. Remark

    JamiiForums Tanzania Dereva

    Haya sema una miaka mingapi, uzoefu wako ni wa muda gani, Una mdhamini anaefanya kazi serikalini?
  2. Remark

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali kama una stress don't comment. Nahitaji ushauri

    “Huyu kwa kwanza ni mkubwa ana miaka 23 ameumuka kama kama mamaake anaumbile kubwa na amefanana na mamaake, ni mnene na anakila kitu alichomacho mamamaake.“ Chief hakuna sehemu imeelezewa maungo sexually hapo labda kama neno MAUMBILE ndio linakuhemsha. Sasa ngoja nikurudishe darasani KILAZA...
  3. Remark

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali kama una stress don't comment. Nahitaji ushauri

    Haya sema huyo mtoto alitakiwa aelezewe vipi ili wewe msomaji unaerusha maneno na ulieelewa ni aina gani ya mtoto anaezungumziwa hapa usihemkwe kama binti. Maana mtu anamfananisha mtoto kama mama yake ambae wewe humjui wala hakujui ili upate picha ya anachotaka kuzungumza , wewe unahemkwa...
  4. Remark

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali kama una stress don't comment. Nahitaji ushauri

    Wewe nae ni kizibo kweli, yani forum kama hii mtu afanye jinai kama hio halafu aje kujifanya hajafanya na kutafuta ushauri unadhani guilty inaweza ikakuruhusu ufanye kitu kama hicho? !! Embu usijifanye unajua kinachoendelea wakati mtu humjui unaanza kumshambulia kwa kutaka ushauri ambao yeye...
  5. Remark

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali kama una stress don't comment. Nahitaji ushauri

    Wewe nawe ni Kizibo kweli na. akili inaonekana ina ujinga mwingi Laana gani sasa wakati mtu anatafuta ushauri kwa kusingiziwa jambo ambalo hajalifanya! Sasa ulitaka aliwasilishe vipi ili aeleweke na apate ushauri!! Aya tuambie uyo jamaa mke na mtoto unawafaham?
  6. Remark

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Demu wa Kiarabu Toronto. Amenifundisha jambo la ajabu sana

    Sasa mbona sijaona jambo la ajabu alilokufundisha na ukafundishika hapo.. Embu nenda moja kwa moja, amekufundisha nini hilo jimama la kiarabu😎
  7. Remark

    JamiiForums Tanzania Kazi ya udaktari ni ngumu sana, hawa watu tuwatie moyo sana.

    Kuna hawa madaktari wa TAMISEMI utawaonea huruma huko vijijini aisee
  8. Remark

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Kiongozi Jasiri na mwenye Uthubutu wa hali ya juu sana

    Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
  9. Remark

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nashindwa kuchangamana na watu

    Nakwambia kitu kimoja mkuu, tena nisikilize kwa makini sana. Wewe umepiga nyeto na kuangalia video za ngono kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka mingi bila kua na demu imefikia sasa mpaka imeanza kukuletea madhara hayo uliyoyataja hapo juu. Amini nachokwambia usifarijiwe na hao wanaokwambia...
  10. Remark

    JamiiForums Tanzania Katika sala zako ukumbuke kuiombea Israel... Utaishi kwa amani sana hapa duniani

    Kwani israel ina watu wanaishi?
  11. Remark

    JamiiForums Tanzania Katika sala zako ukumbuke kuiombea Israel... Utaishi kwa amani sana hapa duniani

    Hivi sisi Wakristo kwanini tunaipigania nchi ambayo hata hii dini yetu wao hawaitambui? Hata tunaemwamini hawamwamini kama alikua mtu wa hivooo kama sisi tunavyomwamini?!! Embu tuache ulimbukeni na hao watu wanaounga mkono Ushoga, Ni ulimbukeni tu unaotumika kupata support ya kisiasa hapo...
  12. Remark

    JamiiForums Tanzania Kuna mtego Iran anaingia pasipo kujua

    Sasa mtego gani huo ambao hata wewe huujui unaishia kuleta hisia tu kama wanawake wanavyofanyaga
  13. Remark

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    L bila O, mwingine aitwe Thang bila SOLO shupavu awajibike kama apolo J afande ni ukuta wapi chochoro🎶🎶🎶
  14. Remark

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Geezy mtoto wa kiume acha nijitume kama matunda yangu yapo basi acheni niyachume🎶🎶
Back
Top Bottom