Msaada tutani: Nashindwa kuchangamana na watu

Asante sana mkuu inaonekana wewe ni mtaalamu wa saikolojia nakupataje?
Wala sio mwanasaiokolojia 🤣
Mimi nilikua kama wewe nilikua natatizo la kutojiamini kipindi bado mdogo ila nikaja kugundua kua ni jiendekeza mbona mzuri tu na sina shida yoyote so kila kitu kinaanzia kwenye akili yako

Unakuta mtu ana shida labda ya kitu fulani kadri unavyojikubari na watu watakukubari lakini ukionesha tu udhaifu lazima watu wautumie zidi yako

Mf: mtu akakuambia we mwanaume unakuaje cheupe uki react kuumia tu umempa siraha tayali

Lakini kama atasema hivyo na ukamwambia ndio mimi ni mweupe na hii hainisumbui basi umemaliza

Kuhusu issue ya kupenda kua mwenyewe sioni kama ni tatizo
Ila sasa tenga siku moja moja za kujumuika na watu hasa wale unaowaamini
Usiishi kama upo kisiwani enjoy life🤍
 
Kwani unajali? ‘Em ishi bhana.
Hatuwezi kufanana kabisa mkuu.

Chukulia mfano mimi,mi si mwepesi wa kusamehe na hata nisiposamehewa sijali….lakini kuna watu wanasamehe na kilasiku wanaumizwa na haohao na wala hawajali.

Then what’s next? Wote tunakufa.Yaan ishi mkuu!
Huu uzi unachangiwa na watu wakubwa sana hadi najistukia
 
Nakwambia kitu kimoja mkuu, tena nisikilize kwa makini sana.

Wewe umepiga nyeto na kuangalia video za ngono kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka mingi bila kua na demu imefikia sasa mpaka imeanza kukuletea madhara hayo uliyoyataja hapo juu.

Amini nachokwambia usifarijiwe na hao wanaokwambia sijui introvet sijui muonekano wako mbaya au namna yoyote wanayosema, sababu kua introvet hakukufanyi uchukiwe au usikubalike wala kukufanya ushindwe kujiamini mbele ya wenzako.

Ushauri wa kwanza anza kula vitunguu saumu unapoamka tafuna punje hata tatu, mchana tatu na usiku kabla ya kulala punje tatu, hii huwa inasaidia sana kiroho kimwili hata kiakili maana akili yako imefifia tokana athari za nyeto na uangaliaji wa porn.

Pili, Fanya mazoezi kila unapopata muda, tembea umbali mrefu au kimbia, nyanyua vitu vizito plus push up.

Tatu, muombe mungu sana, jitamkie maneno mazuri uondoe negative energy inayotokana na over thinking.

Kama kweli ni nyeto na uangaliaji wa porn na uhakika utarud kwenye kawaida na utapata raha sana ya kuishi,
Nina uhakika hauna raha maishani mwako.

Kama sio nyeto na uangaliaji wa porn wa miaka mingi basi kila kheri
 
Huu uzi unachangiwa na watu wakubwa

Wala sio mwanasaiokolojia 🤣
Mimi nilikua kama wewe nilikua natatizo la kutojiamini kipindi bado mdogo ila nikaja kugundua kua ni jiendekeza mbona mzuri tu na sina shida yoyote so kila kitu kinaanzia kwenye akili yako

Unakuta mtu ana shida labda ya kitu fulani kadri unavyojikubari na watu watakukubari lakini ukionesha tu udhaifu lazima watu wautumie zidi yako

Mf: mtu akakuambia we mwanaume unakuaje cheupe uki react kuumia tu umempa siraha tayali

Lakini kama atasema hivyo na ukamwambia ndio mimi ni mweupe na hii hainisumbui basi umemaliza

Kuhusu issue ya kupenda kua mwenyewe sioni kama ni tatizo
Ila sasa tenga siku moja moja za kujumuika na watu hasa wale unaowaamini
Usiishi kama upo kisiwani enjoy life🤍
Thank
 
Hiyo ndio solution.
Unajali kupititliza.
Ukijiskiliza na kujiongelesha namna watakavyo kusema unajiua kifo cha taratibu.

Naelewa unayopitia.
Najua unaumiaje ukiwa peke yako ukitafakari unavyokerwa na hii hali isiyo hata na kilo moja ya ubavu.
 
6. Nashindwa kuanzisha mada
Mbona umeanzisha mada apa mkuu . Unaona adi apa unaweza lkn hujiamini

Mimi ni kama wewe ila cha kuongezea nina hearing impairment.

Nikiwa chuo mwaka wa kwanza nikatakiwa kufanya presentation nimepanda kwa stage. Darasa lote kimya likanipa attention sana. maana nilikua mtu wa kujitenga sana adi kuna waliodhani mimi ni bubu.

ule utulivu na kila mtu amefocus kuniangalia usoni.. nikapoteza confidence kizunguzungu.. naanza kusikia mlio wa tiiiiiiii kwenye ubongo,, jashoo kama lote . Nikaona apa nitafaint. Nikaondoka nje na kuacha darasa zima wakicheka na sikuongea chochote hata salamu.

nikawa maarufu sana baada ya lile tukio 😂😂 ukawa mwanzo wa ku interact na watu japo ni ngumu lkn nilijitahidi. Nikapata na demu.

Una mahusiano mkuu ?
 
Kuna uzi anasema ana date na single mother
 
Nakwambia kitu kimoja mkuu, tena nisikilize kwa makini sana.

Wewe umepiga nyeto na kuangalia video za ngono kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka mingi bila kua na demu imefikia sasa mpaka imeanza kukuletea madhara hayo uliyoyataja hapo juu.

Amini nachokwambia usifarijiwe na hao wanaokwambia sijui introvet sijui muonekano wako mbaya au namna yoyote wanayosema, sababu kua introvet hakukufanyi uchukiwe au usikubalike wala kukufanya ushindwe kujiamini mbele ya wenzako.

Ushauri wa kwanza anza kula vitunguu saumu unapoamka tafuna punje hata tatu, mchana tatu na usiku kabla ya kulala punje tatu, hii huwa inasaidia sana kiroho kimwili hata kiakili maana akili yako imefifia tokana athari za nyeto na uangaliaji wa porn.

Pili, Fanya mazoezi kila unapopata muda, tembea umbali mrefu au kimbia, nyanyua vitu vizito
NAONA UMEKUJA NA ID MPYA
SIO KWA
Mbona umeanzisha mada apa mkuu . Unaona adi apa unaweza lkn hujiamini

Mimi ni kama wewe ila cha kuongezea nina hearing impairment.

Nikiwa chuo mwaka wa kwanza nikatakiwa kufanya presentation nimepanda kwa stage. Darasa lote kimya likanipa attention sana. maana nilikua mtu wa kujitenga sana adi kuna waliodhani mimi ni bubu.

ule utulivu na kila mtu amefocus kuniangalia usoni.. nikapoteza confidence kizunguzungu.. naanza kusikia mlio wa tiiiiiiii kwenye ubongo,, jashoo kama lote . Nikaona apa nitafaint. Nikaondoka nje na kuacha darasa zima wakicheka na sikuongea chochote hata salamu.

nikawa maarufu sana baada ya lile tukio 😂😂 ukawa mwanzo wa ku interact na watu japo ni ngumu lkn nilijitahidi. Nikapata na demu.

Una mahusiano mkuu ?
Ndiyo k
 
Natumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo

1. Nakosa amani watu wanapoweka attention kwangu
2. Nashindwa kuchangia mada ama hoja mezani
3. Nashindwa kukaa na watu kwa muda mrefu mara nyingi natamani niwe peke yangu tu
4. Nashindwa kufanya maamuzi sahihi hata kwa jambo dogo
5. Nashindwa kunusa hatari iliyopo mbele yangu
6. Nashindwa kuanzisha mada
7. Nimepoteza morali ya ujuzi niliosomea na nimekuwa mweupe kichwani
8. Sikubaliki kwa ninayoyafanya

NB: Unaruhusiwa kutumia hata chatgpt
Introvert....hiyo hali nilikuwa nayo! Mazoezi nakujichanganya maskani na washkaji kumenisaidia sana
 
Wewe ni Introvert.
Una uwezo na kipaji, lakini uwasilishaji wake kwenye jamii unaathiriwa na kutojiamini. Solution to this is KUJIAMINI. Amini pia kuwa contibutions yako yoyote ile kwenye jamii inamatter sana, na yeyote atakayeidharau atakuwa mjinga.

Accept who you are.
Hapana huyu sio introvert Bali mgonjwa, introvert huwa ana enjoy vile alivyo hajutii na ana uwezo wa kujenga hoja, anajiamini ukimpa nafas japo sio kimbelembele unaweza kumuona kama boya jinsi alivyotulia ila ukimpa nafasi anakupa kitu flani unique,
 
Back
Top Bottom