Wapo wanaume wachache wenye pesa za ziada za kuchezea ambao huwapa hawa wajinga pesa huku wakiendelea kuwachezea na wao, wakijakustuka ndio hivyo ,maana wachezeaji hao lengo linabaki kuwa ni kuchezea tu,
So mkuu waache waendelee kupenda makuu, na waendelee, mpaka wakome,