Natafuta vijana wenye mtaji tukafungue plant kanda ya ziwa

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,254
2,910
Hii ni fursa ambayo imewatoa watu wengi sana, its risk but ukitoka umetoka.
(gold processing plant)

Lets join and try our lucky.
Haijalishi we ni mtaalam au sio mtaalamu wa sayansi ya ardhi.

Pm me for further information

Private geologist
 
Elezea kila kitu hapa hata sijakuelewa vizuri .....hiyo ya njoo PM ya wapi na kwa nn wew ulikuja JF sasa

Fursa2017
 
Hongereni sana wakuu, ni bora ufanye kazi kama mtumwa halafu uishi kama mfalme kuliko umfanyie mtu mwingine kazi kama mtumwa halafu uishi kama shetani,
 
kwa nini usiweke kila kitu waz hapa ili sasa tuchambue kuliko kusema watu waje PM halafu unatumia IDs zako nyingine kujisupport ionekana kuna mtu mwingine anakubali? kama umekuja kuweka mambo hadharani weka hadharani hapa hapa tujadiliane kama wanaume then tuamue. siyo unaweka robo hadharani robo 3 chumbani. watu siku hizi wamekuwa wakichukuliwa kwenda kuuawa huko na utapeli umekuwa mwingi sana.
 
Hii ni fursa ambayo imewatoa watu wengi sana, its risk but ukitoka umetoka.
(gold processing plant)

Lets join and try our lucky.
Haijalishi we ni mtaalam au sio mtaalamu wa sayansi ya ardhi.

Pm me for further information

Private geologist

Umekimbia bila kutoa maelezo yanayoeleweka???

Kama kweli upo serious jieleze vizuri ueleweke
 
Matatizo ya kujuana sana ndo haya

Weka maelezo mkuu.. mimi pia ni mkaleketwa wa mambo ya kimarndeleo!

Kama kweli hilo wazo lako linamaslahi niko tayari, mtaji sio ishu.. ishu ni idea tu na proper plans basi
 
Weka maelezo mkuu.. mimi pia ni mkaleketwa wa mambo ya kimarndeleo!

Kama kweli hilo wazo lako linamaslahi niko tayari, mtaji sio ishu.. ishu ni idea tu na proper plans basi
Njoo inbox dogo. Nikupe elimu ya haya mambo
 
Hii ni fursa ambayo imewatoa watu wengi sana, its risk but ukitoka umetoka.
(gold processing plant)

Lets join and try our lucky.
Haijalishi we ni mtaalam au sio mtaalamu wa sayansi ya ardhi.

Pm me for further information

Private geologist
Atakaye tapeliwa akalilie kimya kimya huko huko Pm maana kamfuata mwenyewe.
 
Jamaaa alieweka namba nimpigia mda huu yupo mwanza kanielekeza kanambia mtaji wa kuanzia hata million 30 inatosha.
 
Kama kuna mtu anaeza ili tushirikiane mi nko tayar tutafutane tupange million 30 pesa ndefu kwa usawa huu
 
ndo miradi inayowafanya vijana wa geita,katoro,nyarugusu waishi kama wapo peponi! ila deal ni mwalo, hasa ukipata marudio ya lwamgasa(bingwa reef)
 
Back
Top Bottom