Recent content by Rekondoboshiki

  1. Rekondoboshiki

    JamiiForums Tanzania Swali: Hivi kiyoyozi (AC) huwa kinatengeneza oxygen au kinapooza tu hewa iliyoko mahali husika?

    Hilo ndilo swali langu kwa sasa, Hivi kiyoyozi (AC) huwa kinatengeneza oxygen au kinapooza tu hewa iliyoko mahali husika?
  2. Rekondoboshiki

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Pombe sasa basi, Mungu kaniokoa na ugonjwa wa Figo

    Njoo Kanisani mkuu, umpe Yesu maisha yako! Utazidi kuyaona maisha katika mwanga bora.
  3. Rekondoboshiki

    JamiiForums Tanzania Bustani ya 'Eden' ipo nchi gani?

    Baada tu ya uasi, bustani ilitoweshwa ikapelekwa sehemu ambapo inalindwa na makerubi ili mwanadamu asichume tunda la mti wa uzima akaishi milele!
  4. Rekondoboshiki

    JamiiForums Tanzania Hivi mishahara ya mwezi wa pili watumishi wa umma walipandishiwa?

    Pia ninajiuliza kuhusu makontena ya makinikia yaliyokamatwa kwa mbwembwe nyiiiingi, vp kuhusu yale malipo kutoka ACCASIA, vp kuhusu dreamliner, ...
  5. Rekondoboshiki

    JamiiForums Tanzania Je, wajua chromosome 23 kati ya 46 za Yesu zilipotoka?

    haya mambo ya Mungu muyachunguzayo wala hawatowasaidia chochote. chromosomes kwenye JESUS? UNAMCHUNGUZA MUNGU!!!!!
  6. Rekondoboshiki

    JamiiForums Tanzania Kitu gani cha thamani kuliko vyote kwako?

    The Bible
  7. Rekondoboshiki

    JamiiForums Tanzania Serikali kuhakiki vyeti upya...

    I]shithole countries
  8. Rekondoboshiki

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli Mungu ni mkuu

    Ni Mungu/MUNGU, na sio mungu.
  9. Rekondoboshiki

    JamiiForums Tanzania Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

    Sky Eclat popote ulipo nakutakia maisha mema yenye baraka tele
  10. Rekondoboshiki

    JamiiForums Tanzania Mbinguni ni wapi?

    ni eneo ndani ya mtu ambalo huwa tuna ushirika na Mungu.
  11. Rekondoboshiki

    JamiiForums Tanzania Mbinguni ni wapi?

    Mbinguni ni eneo flani hivi la kiroho, huwezi kupaelewa kwa kutumia hizi akili za kibinadamu (ambazo ni batili) Tengeneza maisha yako ya kiroho vizuri then yamkini malaika wa Bwana wanaweza kukuchukua siku moja na kukuonesha uzuri wa mbingu! JITAHIDI KUTENGENEZA ROHONI KILA LEO
Back
Top Bottom