Recent content by RECEIPT

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya vifurushi: Ninadhani tunamuonea Dkt. Ndugulile. Je, wabunge kazi yao ni ipi?

    SIONI SABABABU YA KUMLAUMU MHE DKT FAUSITE NDUNGULILE Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya mabadiliko ya vifurushi vya mitandao jana kubadilika Watanzania wengi walilalamika kuwa vifurushi hivyo havijaja kuwasaidia bali kuwaumiza. Pamoja na maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Viongozi wa TCRA...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Matarajio ya watanzania kwa Mhe. Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni makubwa

    MATARAJIO YA WATANZANIA KWA MHE SAMIA, RAIS WA JMT NI MAKUBWA Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mhe Samia Samia Rais wa JMT amefanya mabadililo madogo kwenye Baraza la Mawaziri yaliyotanguliwa na uapishwaji wa Makamu wa Rais. Katika kuendelea kuhakikisha matarajio aliyonayo ameendelea kupanga...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Anapokubali Awakilishwe na Wahuni na Watekaji Havunji Maadili ya Taasisi ya Urais?

    Kuna mahali nimeona watu wanasema hiyo si sauti ya Sabaya ila ni ya vijana wa Arusha.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ninashauri jaribu kutuliza akili unapotaka jambo liwe

    Sahihi kabisa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapinzani wa CCM wanasema CCM imejichimbia kaburi?

    Tangu enzi za mzee Mrema.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapinzani wa CCM wanasema CCM imejichimbia kaburi?

    Daaaa hii hoja labda anaweza kuijibu Mayalla tu, wengine hapa watarukaruka kama chura kwenye maji.
  7. R

    JamiiForums Tanzania CCM watwangana kura za maoni Yombo Vituka

    Ukisoma watu wanapigana juwa kwamba chama kinapendwa na kina wafuasi wengi.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Video: Juliana Shonza amdanganya Rais. Awaombea msamaha wananchi hewa na kuahidi uongo

    Mbona tumbo Kama mjamzito? Huyu si amejifungua mwaka jana mwezi wa kumi?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umedanganywa mengi kuhusu Mkurugenzi wa Wilaya ya Ileje, Undugu na Waziri Mkuu unampa jeuri na huambiwi ukweli na wasaidizi wako

    Ndumbula anajaribu kudanganya ili kumtetea dadako. Mbene ni mtu wa kuzusha hasa kwa sababu ya hofu yake kisiasa. Kazi yake huyo bibi ni kufukuza kila anayemuona hayuko naye vizuri. Labda nikukumbushe tu kuwa mwaka 2014 alimfukuza DED Siliwa kisa aliomba uwanja wa kujenga akamegewa kidogo wakati...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Zitto Kabwe na Tundu Lissu hauna maslahi kwa Upinzani

    ZITO pekee yake ni sawa nacDM 1000000, ANAWAGEUZA KAMA BAMIA.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kubakia madarakani kwa Mbowe na timu yake: CHADEMA jitokezeni mseme kama hakuna uchaguzi na hamna mbadala wa Mbowe

    Elimu ya tanzania ni ya kukaririshwa ndio maana wapo wanao amini kukaa muda mrefu madarakani siyo demokrasia bali ni udikiteta. KUNA siku nitakuja kutoa somo la demokrasia. Lakini mtambue kuwa hata mtu akikaa madarakani hata kwa miaka 50 lakini ni kwa ridhaa ya watu basi hiyo ni demokrasia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rashidi Matumla aliyeiletea heshima Tanzania miaka hiyo

    Daaaa umeandika andiko la kusikitisha. Mungu amuvushe salama, nitampigia. Unaitendea haki akili yako. Siku hizi unaandika mambo makubwa.
  13. R

    JamiiForums Tanzania UVCCM wajifungia Dodoma

    Kale kakijana kanaitwa bomboko KALITEULIWA KUWA MUHAMASA AKAANZA KUTENGENEZA GENGE LA KUMPINDUA MWANGWALA. Walikatengua onsport
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini inastahili kuongozwa na Mbunge mwenye uadilifu

    Kigoma mumeendelea kuliko Mbeya? Bora ungetolea mfano kwetu hapa mwanza. Id inasomeka KIGOMA NA MBEYA,
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson chaguo sahihi Mbeya mjini

    ID imesimamakama ya mtoto wetu wa Kigoma.
Back
Top Bottom