CCM watwangana kura za maoni Yombo Vituka

CCM watwangana kura za maoni Yombo Vituka

Kwahyo ukiona picha ndo utakuwa unaelewa kuwa ktk ccm kuna chuki kati ya JPM na Memba, Mikamba, Nepi, Kinena na wengineo sio?
Nyambafu wew
Sasa naamini kweli wewe ni Mdudu, Sasa mnatuaminisha CCM wamepigana, hauna ushahidi wa picha, yaani unafikiri apa ni Facebook? Ayo mambo ya hadith na uzushi kwasasa ayaaminiki tena Kigogo ameharibu hadith zanu.
 
Sasa naamini kweli wewe ni Mdudu, Sasa mnatuaminisha CCM wamepigana, hauna ushahidi wa picha, yaani unafikiri apa ni Facebook? Ayo mambo ya hadith na uzushi kwasasa ayaaminiki tena Kigogo ameharibu hadith zanu.
Waulize wenzio wa mtaa huo wa Sigara Mangumi ya uso waliyo twangana jana kama hawajuani vile. Ukitaka kuona Live score uje kura za maoni zijazazo maana uchaguzi umeahirishwa ntakujuza ni lini utafanyika hapa tunasubiria kwa haamu timbwili la Asha Ngedere lijalo kaka.
 
Ukisoma watu wanapigana juwa kwamba chama kinapendwa na kina wafuasi wengi.
 
Vikombe vyagongana kabatini.Kweli madaraka matamu sana,hawaaminiani na hakuna kesi hata wakiuana.Wangekuwa wa vyama mbadala wangechezea kesi ya uchochezi au uhujumu uchumi.
Mechi za kirafiki hapo DRFA tu, hata TFF hawahusiki.
 
Ukisoma watu wanapigana juwa kwamba chama kinapendwa na kina wafuasi wengi.
Ha ha ha ha ulifikiri ni CHADEMA uanze kushangilia? Hao ni ndugu zako wanaccm wanataka kuana kwasababu ya uroho wa madaraka. CCM walivyowazalendo hii habari Musiba aitoi kwenye habari zake ila ingekuwa CHADEMA. Kila gazeti lingetapakaa.
MBWA KALA MBWA
 
Katika hali ya kustaajabisha Makonde Ngumi na kila aina ya ghasia zimerindima ktk mtaa wa Sigara uliopo kata ya Yombo Vituka wilaya ya Temeke baina ya wana CCM kwa Wana CCM wenyewe jana kutokana na upigaji kura za Maoni za mwenyekiti wa serikali za mtaa.

Kulikuwa na kuto aminiana baina ya Pande zinazo hasimiana ktk kugombea nafasi ya uenyekiti ktk uchaguzi huo na pia kutokuwa na imani na wasimamizi wa uchaguzi huo.

Ngumi hizo zililindima kwa muda mrefu baina ya wasimamizi wa uchaguzi huo na pande zinazo hasimiana ambapo ilibidi Polisi waingilie kati kuokoa jahazi na Kura hizo za maoni kuahirishwa.

Mtaa huu awali kwa miaka minane ulikuwa ukiongozwa na ccm kupitia kwa Ndugu Ngonyani ambaye mwaka huu ameamua kuto gombea nafasi hiyo.

Kama CCM wanatwangana wenyewe kwa wenyewe namna hii je watashindwa kumtwanga Risasi mwanachama wa chama kingine cha Siasa?

Halafu CCM hujifanya kuwasema wapinzani ni waloho wa Madaraka. Kwa tabia hizi ktk uchaguzi wa serikali za mitaa tuu, kweli CCM wapo tayari kuachia madaraka kwa Amani?

CCM ni janga la kitaifa kwetu wana wa nchi hii. Wapo tayari kuua kuteka na hata kupoteza raia ili tuu wadumu Madarakani.
CC. Mataga
Cc Meko
hiyo nakala kwa meko imenichekesha sana 😆😆
 
Back
Top Bottom