Dkt. Tulia Ackson chaguo sahihi Mbeya mjini

Wadau. Juhudi za Mhesh Naibu Spika Niza kupongezwa Sana.
Naamini kabisa WanaMbeya Mungu anakwenda kujibu maombi yao.
Naona Mbeya sasa mnaanza kujielewa.
Mjaribuni Dr Tulia ili muone maendeleoyatakavyo kuja kasi.
Mmekaa na kudumaa na Sugu hadi mnakuwa kichekesho.
Tatizo watu wa Mbeya huwa hawasafiri kuona mikoa mingine inavyopiga kasi ya maendeleo kwa kufanya maamuzi sahihi.
 
Chaguo sahihi kwa kupiga picha!?
Hivi UVCCM imekuwajee miaka hii? Mbona vijana waliopo huko ni kama wale vijana wa Mirembe pale karibu na ofisi za mkoa za jengo la Tai!?
Wanapewa nini huko!? Kuna ulazima wa taasisi za uchunguzi za kimataifa kuichunguza hii UVCCM ili kuepusha Tanzania ijayo na janga la kuwa na viongozi mbumbumbu na mentally retarded.
 
Naona Mbeya sasa mnaanza kujielewa.
Mjaribuni Dr Tulia ili muone maendeleoyatakavyo kuja kasi.
Mmekaa na kudumaa na Sugu hadi mnakuwa kichekesho.
Tatizo watu wa Mbeya huwa hawasafiri kuona mikoa mingine inavyopiga kasi ya maendeleo kwa kufanya maamuzi sahihi.
Wacha kutusemea, mchukue wewe Tulia Ackson kwenye jimbo lako. Tutabaki na Mbeya yetu.
 
Acha ushamba mkuu, msiwe ving'ang'anizi wa boti linalozama.
Nimefika Mbeya barabara kuu ya kuingia imesingiziwa lami.
Funguei macho toka usingizi wa pono kisiasa.
Hata Kikwete alisema ukutaka kula , lazima uliwe.
 
Sina hakika kama wana Mbeya ni mazuzu kama wewe mleta maada, kama unavutiwa nae kawe kijakazi wake!
 
Sema ni chaguo sahihi la wewe na wanao.
 
Acha ushamba mkuu, msiwe ving'ang'anizi wa boti linalozama.
Nimefika Mbeya barabara kuu ya kuingia imesingiziwa lami.
Funguei macho toka usingizi wa pono kisiasa.
Hata Kikwete alisema ukutaka kula , lazima uliwe.
Kwa hiyo huyo kinyago unayeye mtetea ndiyo ataleta barabara?
 
Naona Mbeya sasa mnaanza kujielewa.
Mjaribuni Dr Tulia ili muone maendeleoyatakavyo kuja kasi.
Mmekaa na kudumaa na Sugu hadi mnakuwa kichekesho.
Tatizo watu wa Mbeya huwa hawasafiri kuona mikoa mingine inavyopiga kasi ya maendeleo kwa kufanya maamuzi sahihi.
Nenda ukamuoe akupikie na kukufulia kama umamtaka
 
Angalau mery mwanjelwa.Tulia atapata aibu sana hapo kaanza kampeni mapema sana...
 
Mkimchagua huyo dada mtapata ukame miaka yote ya uongozi wake. Mbeya ni mji wenye neema ya chakula hatuongozwi na mtu mkavu kiasi hicho
 
Back
Top Bottom