Hospitali ya Mkoa Iringa imesimamisha huduma za kawaida kwani serikali (hazina) haijapeleka fedha MSD za kutosha kwa miezi mitatu mfululizo. Hospitali ilikuwa inapokea kiasi cha mil 33 kwa mwezi kwa ajili ya madawa , lakini tangu Sept 2011 imepeleka mil 28 tu. Hospitali imeshindwa kujiendesha...
Hivi katiba ya sasa unaijua..? Huhitaji ruhusa ya mtu yeyote kuwa au kutoa maoni yako..? Hata kufikiri huhitaji ruhusa ya mtu..? Sasa unataka hao wananchi wasubiri ruhusa ya mtu mwingine ndio waanze kufikiri...! Anaglia sana usomi wako...??!!!
Mkuu hii discussion ni nzuri.
Mara nyingi psychology ya discrimination ni ngumu kuielezea. Mwalimu Nyerere alifaulu kwa kiasi kikubwa kuielezea. Mfano aliposema ukiwa na meatality ya kibaguzi huwa hutosheki na ubaguzi wako. Utaendelea kubagua bila mwisho. (Issue ya Wazanzibari na Wazanzibari)...
1. 1. Tunahitaji maoni ya Obstetrics and Gynaecologists. Sijui kama wapo tayari kutoa maoni.
2. 2. Je hizi pikipiki zimefanyiwa pilot study hapa Tanzania kabla ya kuagizwa..?
Issue ya huduma za hospitali Tanzania ni scandal. Nashangaa watu hawajaishtukia kiukweli. Ukiugua siku hizi ni very risky kwa sababu hakuna uhakika wa kupata tiba sahihi hata kama una hela za kuhonga watoa huduma. Watoa huduma ni wachache na wengi wao ujuzi wao unatia mashaka na utendaji wao...
This makes a very sad story..! Ploleni kwa kuondokewa na mpenwa wenu. Matukio kama hiya yanatokea to many though unreported. Ni muhimu kufuatilia ili kuhakikisha huduma za afya zinaboreshwa. Eneo moja la maboresho ambalo halijachukuliwa umuhimu wake ni lile la customer au patient care. Haitoshi...
Kuna mambo matatu muhimu ambayo yalipashwa kufanyiwa tathmini kabla ya hii decision ya kununua bajaji kwa waja wazito "ili kupunguza vifo vya akina mama na watoo. 1. Wakina mama na watoto wengi wanaopoteza maisha wakati wa kujifungua hutokea kwa wale ambao wameshaamua kujifungulia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.