Imeniuma nikishuhudia mjukuu wangu akikata roho

Pole sana kwa kufiwa na mjukuu, nadhani kila mtu angekuwa kwenye viatu vyako angefeel the same.
Hata hivyo katika maelezo yako inaonekana umewalaumu sana madaktari na wauguzi, nakubali hii ni haki yako, na hapa naomba nieleweke sina nia ya kutetea wafanyakazi wa afya ambao ni wazembe. Katika huu mkasa wapo ambao nadhani walitimiza majukumu yao na wapo ambao kwa kweli hakutimiza majukumu yao.

Kwanza napata wasiwasi kama mtoto alianza kuumwa ghafla saa moja na akawa serious au aliumwa before lakini akatibiwa nyumbani mpaka alipozidiwa ndipo akapelekwa hospitali (hili hujatuambia). Tunaweza tukawalaumu wahudumu kumbe mtoto alipelekwa akiwa serious sana na matibabu yakwa magumu. Kwa ufahamu wangu, pneumonia ambayo huua haraka sana ni aspiration pneumonia (ile ambayo maji au kimiminika kinaingia kwenye njia ya hewa mpaka kwenye mapafu na kusababisha hii aina ya pneumonia), lakini pneumonia za uambukizo wa vimelea (bacterial, viral, au hata fungal) huanza taratibu (sometimes viral can be acute) na mtoto asipotibiwa tangu anapoanza kuonyesha dalili kama homa, kukohoa nk.,anaweza kupoteza maisha, wasi wasi wangu ni kwamba labda Doris (RIP) alianza kuumwa mapema na labda alitibiwa nyumbani kwanza kabla ya kufikishwa hospitali (kama desturi zetu) na alipozidiwa ndipo akapelekwa hospitali (unaweza kunirekebisha), watoto wadogo wako delicate sana, unapoona dalili yoyote isiyo ya kawaida usimpe syrup tafadhali mkimbize hospitali haraka.

Huyo daktari wa kwanza japo hakusema mtoto anaumwa nini lakini kitendo cha kumpa referral si cha kubezwa, labda aliona mtoto ana ugojwa ambao asingependa ku-reveal mbele yenu kwa kuogopa kuwapa shock, na kwa kuwa yeye hakuweza kuwatibu akaona awape referral, ninachomlaumu mimi ni hiyo consultation charge ya 30,000/-, ilikuwa kubwa mno.

Wale nurses wa levolos nadhani walitimiza majukumu yao, daktari akiandika weka oxygen and give drugs wanafanya, na walifanya, na kwa uhaba wa manesi sio rahasi wakawa wanakaa kwa mgonjwa mmoja full time kama hawana kitu kingine cha kuoffer zaidi ya prescribed management, wakati unakuta nurse yupo mmoja na ward attendant wake wanahudumia wagonjwa kati ya 40 na 70, (sijui load kwa wakati huo ilikuwa kubwa kiasi gani) inakuwa ngumu kuwa na mgonjwa mmoja muda wote, cha msingi walimpatia matibabu (ambayao naamini zilikuwa ni antibiotics na oxygen which is the recomended treatment for severe pneumonia) bahati mbaya hayakumsaidia. Labda wakati mtoto ana-gasp wlitakiwa wawepo wafanye resuscitation ingawa sio 100% successful lakini huwa inaokoa maisha ya baadhi ya wagonjwa. Na saa nyingine hata vitendea kazi havipo, unakuta mgonjwa anatakiwa apate oxygen, hospitali nzima ina oxygen cylinder moja, hapo mfanyakazi hata kama una moyo wa kusaidia mtu unafanyaje? Hospitali haina nyuzi au dawa za usingizi unafanyaje operation? Hapa lazima serikali itimize wajibu wake, vifaa na wafanyakazi jamani hawatoshi, tukiendelea hivi tutapoteza maisha hata pale ambapo hatukustaili kuyapoteza.

Huyo daktari Longdare hakuwa na lugha nzuri sijapenda, Katika mkasa wote kwa mtazamo wangu huyu ndie ambae hakutimiza majukumu yake na anapaswa aadhibiwe.

Poleni sana kwa msiba Mungu awatie nguvu.

Ndugu yangu naomba nikujibu kesho ila while you are waiting for my response also try to wear my shoes
 
Blue Balaa sred yako imeninyima usingizi mtoto wangu alikuwa anakohoa na flu na sikuwa nimempeleka kwa dr but thanx god nimempeleka asubuhi nikapewa dawa sasa yuko ok.
Ila pole sana mkuu ila inatakiwa uwachukulie hatua za kisheria ili wengine wawe na adabu na kifo cha our lovely doris kiwe ndio alama ya mwanzo wa harakati za kukomesha mauaji ya kikatili kwa watanzania wasio na hatia

Once again RIP our SWITIE Heart Doris
 
This makes a very sad story..! Ploleni kwa kuondokewa na mpenwa wenu. Matukio kama hiya yanatokea to many though unreported. Ni muhimu kufuatilia ili kuhakikisha huduma za afya zinaboreshwa. Eneo moja la maboresho ambalo halijachukuliwa umuhimu wake ni lile la customer au patient care. Haitoshi kuwataka watoa huduma wawe na kauli nzuri wanapotoa huduma bila kuwapatia skills za customer care. Haya mafunzo hayajapewa umuhimu unaostahili.

Hata hivyo kuna jambo moja la msingi: This is a one-sided story. Suluhisho la issue ni kupata the other side of the story. Nafahamu hili linakuwa gumu sana kwani hospitali zitajitetea kulinda reputation zao lakini ili justice iwepo lazima hili lifanyike. Sio vibaya ukawasiliana na waziri wa afya
 
Pole sana ndugu kwa yaliyokukuta,nakusifu kwa ustaarabu na uvumilivu wa hali ya juu kwa hawa wauguzi wasio na sifa za kazi yao kwani hawana tofauti na wanyama pori.mwenyezi amlaze mahala pema mjukuu wako...amin
 
hivi inawezekana watu wakiulizwa ushauri wakafanya hivyo kuliko hizi longolongo ninazoziona humu ndani? kama huna la kusema kwenye jambo serious kama kifo kwa nini usinyamaze? nakua very frustrated na baadhi ya wachangiaji na ndipo unapoelewa tatizo letu kwa upana, uwezo wetu wa kuelewa, kupambanua na kuchangia hoja ni mdogo sana sasa sana, hebu fikiria sisi ndio the elites of this country, shame. Bibi Dorris pole sana lakini ushauri wangu ni kwamba katika hatua ya mwanzo andika barua ya malalamiko ukielezea dhamira yako y akuelekezwa hatua za kuchukua uifikishe kwa mganga mkuu wa mkoa copy kwa mganga mkuu wa hiyo hospitali na chief medica officer Dr Mtasiwa wizarani. barua za hapo moshi peleka kwa despatch na ikiwezekana omba appointment ili pamoja na kuzipeleka masjala jaribu kumpa copy tena mganga mkuu hapo. Ile ya dar tuma kwa register lakini pia jaribu kumpigia simu Mtasiwa kumu alert kwamba kuna hiyo barua inakuja (0754-474 346), mpe copy pia PS. Mimi naamini kabisa kuliko kuwa na madaktari wanaoua watu of the lieks of huyu ubora kutokua nao kabisa. usichotaka ni mtoto mwingine innocent kukutana na daktari huyo katika hali ya namna hiiyo
 
Ndugu nahukuru sana na nitafanya hivyo then nitakupa na feedback
 
Pole sana ndugu kwa yaliyokukuta,nakusifu kwa ustaarabu na uvumilivu wa hali ya juu kwa hawa wauguzi wasio na sifa za kazi yao kwani hawana tofauti na wanyama pori.mwenyezi amlaze mahala pema mjukuu wako...amin

Asante sana ndugu Tengoni
 
This makes a very sad story..! Ploleni kwa kuondokewa na mpenwa wenu. Matukio kama hiya yanatokea to many though unreported. Ni muhimu kufuatilia ili kuhakikisha huduma za afya zinaboreshwa. Eneo moja la maboresho ambalo halijachukuliwa umuhimu wake ni lile la customer au patient care. Haitoshi kuwataka watoa huduma wawe na kauli nzuri wanapotoa huduma bila kuwapatia skills za customer care. Haya mafunzo hayajapewa umuhimu unaostahili.

Hata hivyo kuna jambo moja la msingi: This is a one-sided story. Suluhisho la issue ni kupata the other side of the story. Nafahamu hili linakuwa gumu sana kwani hospitali zitajitetea kulinda reputation zao lakini ili justice iwepo lazima hili lifanyike. Sio vibaya ukawasiliana na waziri wa afya

Asante sana, kuna ushauri pia nimepata toka kwa mchangiaji mmoja na ninafikiri utafanya kazi vizuri
 
Blue Balaa sred yako imeninyima usingizi mtoto wangu alikuwa anakohoa na flu na sikuwa nimempeleka kwa dr but thanx god nimempeleka asubuhi nikapewa dawa sasa yuko ok.
Ila pole sana mkuu ila inatakiwa uwachukulie hatua za kisheria ili wengine wawe na adabu na kifo cha our lovely doris kiwe ndio alama ya mwanzo wa harakati za kukomesha mauaji ya kikatili kwa watanzania wasio na hatia

Once again RIP our SWITIE Heart Doris

Asante sana ila endelea kuwa makini kumwangalia mtoto. Kama ni below 5 years be very close
 
pole sana. maskini ya mungu malaika asiekua na hatia ameteseka hivi.
sijui ni lini madiliko yatatokea.
 
Pole sana mkuu ndo matatizo ya nchi yetu hii uzembe uzembe hata kwenye kutetea uhai
 
labda Doris (RIP) alianza kuumwa mapema na labda alitibiwa nyumbani kwanza kabla ya kufikishwa hospitali (kama desturi zetu) na alipozidiwa ndipo akapelekwa hospitali (unaweza kunirekebisha), watoto wadogo wako delicate sana, unapoona dalili yoyote isiyo ya kawaida usimpe syrup tafadhali mkimbize hospitali haraka.

Hapo kwenye red Dr nimekuelewa unaongelea early self refferal lakin chek na huo mzunguko waliomfanyia mara huku mara kule, na hata kama manesi ni wachache kuna special cases kama hii kumtia ku O2 tayari ni indication ya kufanya close monitoring, halaf sio wagonjwa wote walikuwa mahututi katika ward. frankly kuna uzembe mkubwa hapo.
 
hivi ni move au lakini kwa tanzania inawezekana kabisa maana ni mahali pekee dunia uhai wa mtu auna thamani kabisa
 
May de Angel's soul rest in peace but is this behaviour acceptable?

It is not only about public hospitals... but also private hospitals...

I lost my Beloved Father 7years ago due to the carelessness and inefficicnecy of Dr. Arab Of Aga Khan Hospital; We had complained to the Patient Support Department to Miss N. Bandali but to our surprise all the documents went missing form their side and suddenly there was no proof... Later on Dr. Arab was sacked from Aga Khan Hospital immediately ( Now the owner of Apollo Hospital- wheer by recently a child was suffering from Pneumonia and he failed to diagnose it and instead gave him Malaria Treatment; The child passed away )

Jamani at that time i was young, had no financial resources at all; i was helpless. I could nothing to give my Late Father Justice but today i know my rights; i have resources and i can fight... so Sir ( you who lost Dorris) i want to assure you i am with you in fighting this battle; just give me a shout out and i shall support you.

I'm doing this for my Beloved father; whose loss i feel till today....!!

Please let us all unite and fight against such behaviour; our family; our beloved's life is priceless will we wait to loose them before we raise our voice??

Where are those doctors who had sworn to save people's life? why do we have a vice versa now??

Please lets wake up; stand unite and fight!!!

BTW does any one of you know any NGO which can help and direct us to fight this?? We should contact them...Please help me..Please help my Father...Please Help Dorris..Please ehlp the lady who lost her mother due to carelessness...Please Help all others...Please Help........
 
Back
Top Bottom