Kwa Tanzania inaweza kua sawa ila kwa dunia ni uongo mkubwa, pia ukiiangalia hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja waislamu wanahali mbaya zaidi kuliko wakristo
Alafu cremation sio lazima mtu achomwe kwa moto ila kuchomwa kwa moto ni Aina ya cremation inayoitwa Flame-based cremation ambapo mwili huwekwa kwenye cremation chamber na kuchomwa kwa joto la 700°c mpaka 1000°c kwa afrika hii ni rahisi sababu ya nyenzo zilizopo Aina ya pili ni Alkaline...
Taswira unayoiona kwenye kioo sio vile watu wanavyokuona kwa sababu kwenye kio Taswira yako inakua imegeuzwa, pili kwanini watu wengi hujikosoa muonekano wao jibu ni kuwa ushazoea sura yako hivo ukiiangalia unajikita kwenye kujikosoa zaidi tofauti na vile unapomuona mtu mwingine kwa mara ya kwanza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.