Acha uongo na kujifanya ubora sana kwa hiyo wote waliokoo fb ni wanawake na watu wa vyuo vya kata?naona umekosa cha kuongea kaoge kwanza ndio uje uchangie
Unishangaza sana unaposema sijui huwa wakipata pesa wanaishia kununu sabufa au seapiano?kati ya watu wazuri na wafuatiliaji wazuri wa movie ama drama zote zinaxohusiana mapigano ya aina yoyote ya silaha ama ya ngumi pia kati ya watu wanaofuatilia movie za kipelelezi si wengine ni polisi.Tatizo...
Huduma zinatolewa kama kawaida sababu majeruhi wako wa viwango mbali mbali basi wengine walishauriwa wapelekwe selian.ndugu zangu tuache uchochezi manesi na madaktari hapa mount meru hospital wanatoa huduma sitahiki uongo tuache
Hao polisi kwani wana mioyo ya plastiki.hawafii sio kwenda kichwa kichwa tu kama unaenda chooni.ulitegemea anyooshe mikono juu kama anasimamisha gari wakati hiyo ni bunduki.pole kwa majeruhi.
Hapa sio swala la kuwalaumu wana mtwara hata kidogo.tujiulize nyuma ya pazia kuna nini!?kuna watu ambao wanachochea hiki kitu kwa maanufaa binafsi.Tanzania tumejaliwa gesi,uranium.hivi vitu vinawatamaanisha sana nchi kubwa dunia kuwa navyo ama kusafirisha kwenda kwao.tutachonganishwa na kujazwa...
Hapo ifike mahali pia tujiulize mara mbili mambo yanayotokea siwabezi watu wa mtwara kakini kunauhusiano gani kati ya gesi na daraja?vipi kuhusu mahakama?
Hali sio nzuri ktk usalama wa nchi yetu hasa ndugu zetu wa mtwara sawa wanaweza kuwa wamechoshwa na ahadi zisizotimizwa na kuonekana kama wametengwa na serikali yao.hatukati inawezekana kweli na kwa hali ikiyopo sasa serikali imejifunza kitu.Kilichopo sisi wanaJF tusishabikie vurungu na...
Umemaliza mama, Asante sana.kati ya magosha ga g'hana basukuma bakwandya.Hilo halina ubishi miili iliyojengeka,nguvu za kutosha.hakunaga kuchoka hadi kieleweke.utafutaji jadi yetu.hatuna ubaguzi hatujinyimi wewe.
Najua unaongea tu bila kuwa na uthibitisho wowote ule.we as sukuma man,we know how to care! how to handle a girl!also hospitality ni jadi yetu.Inawezekana wewe ndio -----.jiangalia sana.
Karibu sana kwenye jukwaa la uwazi bila kificho hapa unaongea ya moyo mwako bila kupepesa macho wala woga wowote.Tupo ili kujuzana na kuelibishana pia na kubadilishana karibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.