Tofautisha member wa JF na wa FB

Tofautisha member wa JF na wa FB

we mwandishi ukumbuke waliopo humu na fb wapo...
 
Kweli kuna utofauti kati ya members wa JF na wa FB ....wanaotoka FB kuja huku angalia nyuzi zao utajua

fb ni ya wanawake, wanaume wenye tabia za kike na wanafunzi kuanzia primary school mpaka baadhi ya vyuo vya kata, jf= great thinkers, think tanks, interlectuals,
 
Unamaanisha "wale wa JF hawatumii FB???"

Yani mnaniboaga mkileta ishu zenu za kugrade binadamu wenzenu, no one is perfect and JF doesn't make u any better than those who don't use it!

Me love this
 
fb ni ya wanawake, wanaume wenye tabia za kike na wanafunzi kuanzia primary school mpaka baadhi ya vyuo vya kata, jf= great thinkers, think tanks, interlectuals,

So u mean Mark Zuckerburg alipitia shule ya kata??
 
fb ni ya wanawake, wanaume wenye tabia za kike na wanafunzi kuanzia primary school mpaka baadhi ya vyuo vya kata, jf= great thinkers, think tanks, interlectuals,

Acha uongo na kujifanya ubora sana kwa hiyo wote waliokoo fb ni wanawake na watu wa vyuo vya kata?naona umekosa cha kuongea kaoge kwanza ndio uje uchangie
 
fb ni ya wanawake, wanaume wenye tabia za kike na wanafunzi kuanzia primary school mpaka baadhi ya vyuo vya kata, jf= great thinkers, think tanks, interlectuals,
Mhhhhhhh..?!?!?!?!?....
kazi kwlikweli
 
Wa FB wana nini?
'
Na wa JF wana nini?
Wa FB:
Mara nyingi baadhi ya maneno kwenye cred zao, huyaandika kwa namba au vifupi ambavyo co rasmi. Xaxa hii huwa co 2 ngumu kwa baadhi ya wa2, kama xio wana JF walio wengi, baili hata kwa wana FB wenzao. Vlevle ukizdeku ctory kwenye thread zao, zinakuwanga kibengazi sana kiac kwamba cio 2 unaweza uxielewe ki2 mpaka uchambue vina mar kazaa, unaweza pia ukaamua uxiuxome kabxa uz huo, maana utaixhuurixha akill yako kwa nguv nyingi bila xabb za mcngi co ukaona ni bora uipotezee...

Wa JF:
hawa huwa hawana maneno mengi yasiyo rasmi katika ugha husika wanapoelezea jambo. Lugha yao huwa inafuata sana panctuation kama lugha husika inavyotaka. Na huwa na mpangilio wa maneno unamvuti na kumfanya msomaji aelewe na kuvutiwa na anachokisoma.
 
Unamaanisha "wale wa JF hawatumii FB???"

Yani mnaniboaga mkileta ishu zenu za kugrade binadamu wenzenu, no one is perfect and JF doesn't make u any better than those who don't use it!

I support you
 
wewe umeijuaje FB,,,kama si mdau!!!!!
Si kila unachokijuwa umekipitia, vingine tunavijuwa kwa kuambiwa, kusoma sehemu flani au kushuhudia wengine yakiwatokea... Kwa mfano mimi, wewe na mwingine anayesoma hapa, tunafahamu kuwa ukigongwa na gari au treni unaweza ukafa. Je kati yetu kuna aliyewahi kugongwa na vyombo hivyo vya usafiri na akafa, halafu akarudi hapa kuja kutupa ushuhuda huo??
 
Wa FB:
Mara nyingi baadhi ya maneno kwenye cred zao, huyaandika kwa namba au vifupi ambavyo co rasmi. Xaxa hii huwa co 2 ngumu kwa baadhi ya wa2, kama xio wana JF walio wengi, baili hata kwa wana FB wenzao. Vlevle ukizdeku ctory kwenye thread zao, zinakuwanga kibengazi sana kiac kwamba cio 2 unaweza uxielewe ki2 mpaka uchambue vina mar kazaa, unaweza pia ukaamua uxiuxome kabxa uz huo, maana utaixhuurixha akill yako kwa nguv nyingi bila xabb za mcngi co ukaona ni bora uipotezee...

Wa JF:
hawa huwa hawana maneno mengi yasiyo rasmi katika ugha husika wanapoelezea jambo. Lugha yao huwa inafuata sana panctuation kama lugha husika inavyotaka. Na huwa na mpangilio wa maneno unamvuti na kumfanya msomaji aelewe na kuvutiwa na anachokisoma.

enough said.
 
I support you
Si jambo la ajabu, padre kumsupport padre mwenzie au shehe kumsupport shehe mwenzie kama ilivyo kwa mwizi kumsupport mwizi mwenzie.... kwani hao wote wanaoungana mkono ni wa kundi moja na wanafanana katika vitu vingi. Hivyo hata kwako, kutoa support kwa mwenzio juu ya jambo hilo si ajabu. One should expect FB members to support each other... Tutashangaa sana ikiwa kinyume chake, na tutaitana 'matreita' kama hatuungani mkono tulio wa aina na haiba inayofanana
 
Ngoja kutokee breakdown humu JF kwa masaa 4 tu ndio utajua vyema fb members na Jf members ni wapi na wanachopost huko fb . Uzuri huwa hawajifichi (maguru wote utawakuta kule fb na id zao za humu humu JF)

Nachojua Jf ni zaidi ya Fb kwani mizaha inayofanywa fb humu pia imo na ilikuwepo kabla ya Fb kukua kwa kiasi hicho kwa jamii yetu ya bongo .Pia tusiibeze sana fb kwani kuna mijadala ilishaanzishwa kule hususani ya mambo ya mapenzi muda kidogo then unaiona inatokeza humu jf kama mijadala mipya .

Kasoro kubwa ya baadhi ya memberz wa Jf ni kutoamini kuwa muda haupo nasi na kila nyakati na mambo yake ,hawa wapya wanaoingia Jf hawawezi kuwa kama wakongwe kiuelewa na kiuchambuzi wa mambo kwa siku moja .Wapo wachache watakaoweza kudaka tune ya jf kwa haraka.

Mtaji wa Jf ni memberz so ni vyema memberz wapya wakaheshimiwa kama wa zamani kwani wao pia ni sehemu ya mafanikio ,ufb ama utwitter nk ni vijimambo tu ,wote tuwakaribishe humu .
 
Ukizingatia hao "great thinkers" walijua JF kwa kupitia facebook page yao
Ilikuwaje ukashindwa kujisajili kwa jina hata la kijijini unakotoka ukaona ukopi na kupesti jina kwa kufupisha maneno ! Invisible Paw hii imekaaje !

Kweli ndio maana wanawasema vibaya memberz wa fb kwa kutokuwa wabunifu ,ila mimi naona ni stage soon mtaelewana .
 
Last edited by a moderator:
Ndio sisi tuko huku JF na kule FB. wakijifanya kuponda jua wamevurugwa na hawajitambui.
 
Back
Top Bottom