Recent content by Rayase

  1. R

    Magufuli hakupunguza ukubwa wa Serikali, ameongeza

    Moderator tusaidie kupata fact kutoka vyanzo sahihi Jumla ya mawaziri + manaibu na jumla ya makatibu na manaibu katibu wakuu kwa serikali ya awamu ya nne na ya tano. Hii itapunguza mabishano
  2. R

    Ijue Historia ya muasisi wa TANU, Ally Kleist Sykes (1926 - 2013)

    RIP Mzee! Nijua leo kumbe ana asili ya south africa Mzulu!
  3. R

    Kifanyike Kitu Gani Kuzuia Utitiri wa Vyama Vya Siasa Nchini

    Tunaweza kuliangalia kwenye katiba mpya! pendekeza basi ili tuchangie
  4. R

    Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

    mwisho chumbe
  5. R

    Mbunge Mary Mwanjelwa apata ajali mbaya, watu kadhaa wapoteza maisha!

    Ni kweli amepata ajali eneo la mbalizi! ila kapona na anaendelea vema! amelazwa hospitali teule ya wilaya mbeya iliyopo ifisi
  6. R

    JENERALI ULIMWENGU PRESENTATION AT OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA - MORAL DECAY Tanzania

    Its good! nimeisikiliza aisee! Ni muhimu kuisikiliza
  7. R

    Mansour Himid: Hata nikivuliwa uwanachama wa CCM, sitabadili mawazo yangu kuhusu Muungano

    "NANI ANALAZIMISHA MUUNGANO? ILI APATE NINI?" swali mengine ya kujiuliza ni haya hapa Nani anaukataaa Muugano? ili Apate nini? Just thinking big on the matter!
  8. R

    Picha: Ulimboka na JK

    I like black and white! they have the same interest!
  9. R

    JK amevuja katiba na hati ya Muungano ktk mabadiliko ya baraza la mawaziri?

    I wish mtalaam na mwelevu wa mambo ya katiba anisaidie nami pia! Tunaposema hili jambo/haya mambo ya Muungano na /jambo mambo yasiyo ya muungano nini maana, dhana (logic ) yake. tusaidieni tafadhari jamani
  10. R

    Mkapa, familia ya Nyerere, wafunguka;Mkapa kutaka akutanishwe na mbunge huyo.

    Jamani naomba tukumbushane alichosema mkapa. Alisema vicent si mtoto wa mwalimu Nyerere si mtoto wa familia ya Mwalimu Nyerere kama 1 ndio sahihi then he Mkapa was right!
  11. R

    Hotuba ya mwenyekiti wa UVCCM Ndg Beno Malisa kikao maalum cha makatibu wa Vijana wa mikoa na wilaya

    "UVCCM MPYA KUELEKEA CCM MPYA" imekaaa vema! utekelezaji wake sasa!
Back
Top Bottom