Picha: Ulimboka na JK

Picha: Ulimboka na JK

uli.JPG

Dah!!!! Wakina Msangi walivyomkarabati uso!!! huwezi amini kumbe ni kijana mzuri tu kwa sura.Dr. Ulimboka Mwakingwe Ghwa Kukajha
 
HAPA Ahmed Msangi amejificha wapi??
Huyu wa tatu kutoka kushoto (baada ya Dr. Uli) mbona kama yeye kafurahia kuja ikulu tu?? Yaani anaonyesha kasahau matatizo ya wagonjwa kabisa!!!! Kha!!! nashindwa kuelewa nimuamini nani!!!!!!!!!!!!
 
ikulu ni mahala patakatifu si pango la wanyang'anyi..? Wakaona wakamalizie biashara mabwepande kikauzu zaidi ya dagaa.. Wakamung'oa meno bwna mdogo ulmboka.. Na kucha bila ganzi alafu isitoshe wakamvunja na mikono steve..! Ama kweli unyama hufanywa na wanyama..
 
ila mungu yupo atawanyoosha na kuwatia adabu wale wote waliojihusisha.. Kumtesa bwana mdogo ulimboka..
 
huyo jamaa wa kwanza ukimwagalia uson ni mnafiki kabisaaaaaaaaaa, ila hata hao wengine hawaonekani kama wako kikazi, kama wanatania tu juu ya madi yao
 

madaktari wanaharakati hao.....seriousness ipo kweli hapo? cjajua kigezo kilichotumika kuchagua viongozi hawa yani hamna hata kiongozi mmoja wa madr. ambaye anaonyesha yuko above 50yrs hapo.....hii ni hatari.......Najua namba kubwa tu ya madaktari wenye uzoefu na kazi zao kwa ujumla wenye experience ya zaidi ya miaka 15 kazini....vp inamaana kwny hiyo oganaizesheni a.k.a uongozi wa chama cha madaktari hawakwalifai? I SMELL SOMTHING FISHY HERE.
 
MI6 umenifungua macho! Dr Deo hakuchukua hatua yeyote kuhusiana na sakata hilo. Jambo hili linaacha maswali mengi yasiyo na majibu. Katika hali ya kawaida ripoti ya kutekwa Dr. Ulimboka zingepatikana hata kabla hajaokotwa msitu wa Pande. Kama kweli Deo angekuwa makini angewataarifu madaktari wenzake kuhusu tukio hili lisilo la kawaida. Kwa mshangao, hakufanya hivyo, nasi twauliza, kulikoni?

Jamani, mbona tunaambiwa Dr. Deo alip[oona mwenzie kachukuliwa aliaanza kuipiga simu ya Dr. Ulimboka bila mafanikio na ndipo akaenda Police Central ambako pia hakupata msaada wowote hadi alipopigiwa simu kuwa Dr. Ilimboka kaokotwa taaban ndipo akaanza kuwapigia wanaharakati. Au haikuwa hivyo?
 
Dah!!!! Wakina Msangi walivyomkarabati uso!!! huwezi amini kumbe ni kijana mzuri tu kwa sura.Dr. Ulimboka Mwakingwe Ghwa Kukajha

Is it? Dr. Stephen Ulimboka au, Ulimboka Mwakingwe? inakuwakuwaje, malafyale, have a self assessment.
 
Ti ta ti ta ti ta ti ta ti at ti ta ti ta ti ta ti ta!........
 
hapo bro anawaza amuulize tom cruise how mission impossible can become possible
 
We acha uongo na speculation zako. Deousiku ule hakulala, alitoa taarifa kwa madaktari wote usiku ule ule na kwa watu wa human rights na polisi. Jibu alilopewa na polisi ni kuwa "Nyie msihangaike, mtamwona tu asubuhi" kwa tafsiri kuwa "mtamwona tu asubuhi mabwepande akiwa amekufa". Au na wewe ni mpiga jaramba kama Kova na kukamata vichaa barabarani huku ukiwasingizia kumshambulia ulimboka??

Nakushukuru kwa taarifa
 
karibuni sana vijana,nashukuru kwa changamoto mnazotoa kwa serikali,lkn cku mtakapoanza kutolewa kucha na meno bila ganzi nisisikie yoweee,next tym mkija naamini tutakuwa tumefikia muafaka huku mkiwa na mapengo:israel::israel:
 
he is so handsome! (ofkoz dr uli, not kikwete aaarrrggghhhh!)
 
Back
Top Bottom