Recent content by Rauyah

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mrembo ndotoni

    Wanajamii nawasalimu. Kila mtu huwa na Ndoto na njozi.Kwa Muda wa wiki mbili sasa nimekuwa nikiota ndoto ya ajabu.Ndani ya ndoto hiyo namuona binti mrembo akiwa amesimama kando ya bahari huku gauni lake la samawati likipeperushwa na upepo mwanana wa bahari.Sura yake ni ya mviringo na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mrembo ndotoni

    Unazidi kunitisha...Itabidi nizame kwenye maombi mazito.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mrembo ndotoni

    Asante sana kwa ushauri,kwa kifupi sijaoa ila nina demu ambaye bado hatujaingia rasmi kwenye uchumba.Inanitisha sana aisee.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

    Sikumbuki kama nilishaangalia movie ya kibongo hadi mwisho.Phew!...hazitamaniki.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kenyan nominated for OSCAR awards

    Safi sana
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mrembo ndotoni

    Wanajamii nawasalimu. Kila mtu huwa na Ndoto na njozi.Kwa Muda wa wiki mbili sasa nimekuwa nikiota ndoto ya ajabu.Ndani ya ndoto hiyo namuona binti mrembo akiwa amesimama kando ya bahari huku gauni lake la samawati likipeperushwa na upepo mwanana wa bahari.Sura yake ni ya mviringo na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nitarudi tena Marangu

    Ha ha ha..nimeshakuwa tena Mmarangu.Thanks anyway.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dege Kubwa latua KIA

    Miaka ijayo watalii hawatakuja tena Africa,wataenda uarabuniiiii.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Picha: DK. Slaa aivuruga CCM Ruvuma

    Mama aliniambia nisifurahi wakati adui yangu akipata taabu.Leo nimeamua kuachana na huo ushauri wa Bi mkubwa na ninafurahia jinsi CCM wanapata tabu.Wanaumizwa sana na upepo wa Chadema.Mama nisamehe kwa hili lazima nifurahi.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tuwashauri hawa akina Dada.

    Kweli kabisa.Inakaa kama vile wasomi sio material wives(sio wote lakini)
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tuwashauri hawa akina Dada.

    Naogopa...namimi nitakuwa nimeshiriki uhalifu wa mitandaoni.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tuwashauri hawa akina Dada.

    Mada yenyewe imekaa kiushauri.Labda wenye hivo vitabia wakiona watajirekebisha.(Naomba Mungu iwe hivyo)
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tuwashauri hawa akina Dada.

    Itafaa sana.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tuwashauri hawa akina Dada.

    Lazima jazba zipande.Mi napanda daladal na Mwanangu alafu tunashuhudia vitu kama hivyoo!...Eeee Mungu msaidie Mwanangu maana huko tunakoelekea ni pabaya zaidi.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nitarudi tena Marangu

    Nilioneshwa barabara ya kwenda Rombo.Next time nitahakikisha nafika Kona zote za uchagani.Mungu anipe uzima na afya.
Back
Top Bottom