- Thread starter
- #21
ulimuona Mkuu rombo?
Ndo nani tena huyo?
Last edited by a moderator:
ulimuona Mkuu rombo?
Habarini za saa hizi.Kuna jambo ambalo nimeona nishee na wanajamii kuhusu Marangu.Mimi mzaliwa wa Dar es salaam ingawa kwa kabila ni msukuma.Tangu nimezaliwa nilikuwa sijawahi kwenda mikoa ya kaskazini.Kuna mshkaji wangu mmoja tulikuwa tunasoma nae pale Mlimani ni Mchaga toka Marangu.Kijiji anachotoka kinaitwa Rauya yaani kama Jina langu.Mara kwa mara alikuwa akiniambia kuna kijiji kinaitwa Rauya na mara nyingi alikuwa akinitania kwa kuniita Mangi.Nilikuwa nachukia sana coz nilikuwa sifagilii sana kabila la wachaga.Ila siku zilivyoendelea kusonga nilimzoea na tukawa marafiki wakubwa haswa.
Sasa juzi kati mzimu wa sikuku za xmass na mwaka mpya alinialika niende Marangu nikakione hicho kijiji cha Rauya.Nilikubali bila hiyana.Mama yanguu.Nilipofika sikuamini kama ni kijijini.Kulaleki wachaga ni Nyoko.Hiyo mijumba iliyofunikwa katikati ya migomba ilinifanya nitoe macho kama mjusi aliyebanwa na lango kuu la magereza.Yaani ni masinagogi ya kifahari haswa.Mijumba ya thamani kubwa imezungukwa na migomba.Mi nilijua naenda kijijini nitakuta nyumba za mbavu za mbwa kumbe ni kinyume chake.Wazazi wake walinipokea kwa moyo mkunjufu na wa upendo.Nilikuwa nimepanga kukaa siku tatu lakini nikajikuta nakaa wiki na ushee.Mazingira ya kijani kibichi yalinivutia sana.Mito mikubwa yenye maporomoko ndo usiseme.Alinipeleka mahali panaitwa Marangu mtoni.Hapo kuna kila huduma zinazopatikana mjini.Pub na restaurant za maana kama vile niko samakisamaki Dar.
Kwa mara ya kwanza nilikunywa mbege(Nilikuwa naidharaugi sana)Ila nilipoionja nilijua ni kwanini wachaga wanaisifiaga sana.Mbuzi na ng'ombe zilikuwa zinachinjwa kama vile hakuna kesho.Watoto warembo wakichaga ndani ya magari ya kifahari ndo usiseme.Usafiri wa kila aina hadi tax za maana.Basi jamaa akanipeleka kwa mshikaji mmoja wa mwenge Dar na yeye ni mchaga wa Marangu ingawa ni kijiji kingine.Huwa anafanya kazi za kuchomelea.Nilipofika kwake kidogo nilie baada ya kushangaa sana.Huo mjumba alioujenga ni balaa.Kidogo niseme niko msasani Dar.Mimi nilikuwa namdharau anavyoangaika na mavyuma kumbe jamaa ana jumba la mamilioni huko kiliji.Du!Naweza nikaeleza mengi ila kwa kifupi hawa watu wako juu.Na nitarudi tena Marangu Rauya.
Ghawizzaa... Kizuri husifiwa.Kuna ile waterfalls pale Marangu mtoni inaitwa Kinuka mwori,Du! ni balaa...
Kuna Rauya mbili: Rauya ya Marangu na Rauya ya Mamba. Wewe ulikuwa Rauya ipi na yenye maporomoko ya maji kama siyo muongo kama yule waziri wa TANESCO?Habarini za saa hizi.Kuna jambo ambalo nimeona nishee na wanajamii kuhusu Marangu.Mimi mzaliwa wa Dar es salaam ingawa kwa kabila ni msukuma.Tangu nimezaliwa nilikuwa sijawahi kwenda mikoa ya kaskazini.Kuna mshkaji wangu mmoja tulikuwa tunasoma nae pale Mlimani ni Mchaga toka Marangu.Kijiji anachotoka kinaitwa Rauya yaani kama Jina langu.Mara kwa mara alikuwa akiniambia kuna kijiji kinaitwa Rauya na mara nyingi alikuwa akinitania kwa kuniita Mangi.Nilikuwa nachukia sana coz nilikuwa sifagilii sana kabila la wachaga.Ila siku zilivyoendelea kusonga nilimzoea na tukawa marafiki wakubwa haswa.
Sasa juzi kati mzimu wa sikuku za xmass na mwaka mpya alinialika niende Marangu nikakione hicho kijiji cha Rauya.Nilikubali bila hiyana.Mama yanguu.Nilipofika sikuamini kama ni kijijini.Kulaleki wachaga ni Nyoko.Hiyo mijumba iliyofunikwa katikati ya migomba ilinifanya nitoe macho kama mjusi aliyebanwa na lango kuu la magereza.Yaani ni masinagogi ya kifahari haswa.Mijumba ya thamani kubwa imezungukwa na migomba.Mi nilijua naenda kijijini nitakuta nyumba za mbavu za mbwa kumbe ni kinyume chake.Wazazi wake walinipokea kwa moyo mkunjufu na wa upendo.Nilikuwa nimepanga kukaa siku tatu lakini nikajikuta nakaa wiki na ushee.Mazingira ya kijani kibichi yalinivutia sana.Mito mikubwa yenye maporomoko ndo usiseme.Alinipeleka mahali panaitwa Marangu mtoni.Hapo kuna kila huduma zinazopatikana mjini.Pub na restaurant za maana kama vile niko samakisamaki Dar.
Kwa mara ya kwanza nilikunywa mbege(Nilikuwa naidharaugi sana)Ila nilipoionja nilijua ni kwanini wachaga wanaisifiaga sana.Mbuzi na ng'ombe zilikuwa zinachinjwa kama vile hakuna kesho.Watoto warembo wakichaga ndani ya magari ya kifahari ndo usiseme.Usafiri wa kila aina hadi tax za maana.Basi jamaa akanipeleka kwa mshikaji mmoja wa mwenge Dar na yeye ni mchaga wa Marangu ingawa ni kijiji kingine.Huwa anafanya kazi za kuchomelea.Nilipofika kwake kidogo nilie baada ya kushangaa sana.Huo mjumba alioujenga ni balaa.Kidogo niseme niko msasani Dar.Mimi nilikuwa namdharau anavyoangaika na mavyuma kumbe jamaa ana jumba la mamilioni huko kiliji.Du!Naweza nikaeleza mengi ila kwa kifupi hawa watu wako juu.Na nitarudi tena Marangu Rauya.
Kuna Rauya mbili: Rauya ya Marangu na Rauya ya Mamba. Wewe ulikuwa Rauya ipi na yenye maporomoko ya maji kama siyo muongo kama yule waziri wa TANESCO?
Karibu tena om ukija tena fika hadi rombo mkuu
Kwa maelezo hayo yote ulioyatoa, na ukarimu wa watu wa huko Marangu, wengine wenye roho nyepesi tunaweza kulowea huko kimoja ama tukachukua jiko huko.Habarini za saa hizi.Kuna jambo ambalo nimeona nishee na wanajamii kuhusu Marangu.Mimi mzaliwa wa Dar es salaam ingawa kwa kabila ni msukuma.Tangu nimezaliwa nilikuwa sijawahi kwenda mikoa ya kaskazini.Kuna mshkaji wangu mmoja tulikuwa tunasoma nae pale Mlimani ni Mchaga toka Marangu.Kijiji anachotoka kinaitwa Rauya yaani kama Jina langu.Mara kwa mara alikuwa akiniambia kuna kijiji kinaitwa Rauya na mara nyingi alikuwa akinitania kwa kuniita Mangi.Nilikuwa nachukia sana coz nilikuwa sifagilii sana kabila la wachaga.Ila siku zilivyoendelea kusonga nilimzoea na tukawa marafiki wakubwa haswa.
Sasa juzi kati mzimu wa sikuku za xmass na mwaka mpya alinialika niende Marangu nikakione hicho kijiji cha Rauya.Nilikubali bila hiyana.Mama yanguu.Nilipofika sikuamini kama ni kijijini.Kulaleki wachaga ni Nyoko.Hiyo mijumba iliyofunikwa katikati ya migomba ilinifanya nitoe macho kama mjusi aliyebanwa na lango kuu la magereza.Yaani ni masinagogi ya kifahari haswa.Mijumba ya thamani kubwa imezungukwa na migomba.Mi nilijua naenda kijijini nitakuta nyumba za mbavu za mbwa kumbe ni kinyume chake.Wazazi wake walinipokea kwa moyo mkunjufu na wa upendo.Nilikuwa nimepanga kukaa siku tatu lakini nikajikuta nakaa wiki na ushee.Mazingira ya kijani kibichi yalinivutia sana.Mito mikubwa yenye maporomoko ndo usiseme.Alinipeleka mahali panaitwa Marangu mtoni.Hapo kuna kila huduma zinazopatikana mjini.Pub na restaurant za maana kama vile niko samakisamaki Dar.
Kwa mara ya kwanza nilikunywa mbege(Nilikuwa naidharaugi sana)Ila nilipoionja nilijua ni kwanini wachaga wanaisifiaga sana.Mbuzi na ng'ombe zilikuwa zinachinjwa kama vile hakuna kesho.Watoto warembo wakichaga ndani ya magari ya kifahari ndo usiseme.Usafiri wa kila aina hadi tax za maana.Basi jamaa akanipeleka kwa mshikaji mmoja wa mwenge Dar na yeye ni mchaga wa Marangu ingawa ni kijiji kingine.Huwa anafanya kazi za kuchomelea.Nilipofika kwake kidogo nilie baada ya kushangaa sana.Huo mjumba alioujenga ni balaa.Kidogo niseme niko msasani Dar.Mimi nilikuwa namdharau anavyoangaika na mavyuma kumbe jamaa ana jumba la mamilioni huko kiliji.Du!Naweza nikaeleza mengi ila kwa kifupi hawa watu wako juu.Na nitarudi tena Marangu Rauya.
Hahahaha! Utarudi Rauya kusalimia au kujitafutia jiko kabisa? Ndiyo maana saizi tunataka uongozi wa nchi ili maendeleo yaliyoko uchagani yaenezwe nchi nzima! By the way, ukirudi teha Rauyah ufike na maeneo ya mamba Kotela unifikishie salamu kwa ndugu zangu wa pale! Tehe...