Tuwashauri hawa akina Dada.

Tuwashauri hawa akina Dada.

na hawa walioenda shule? tena higher learning kabisa?

utawashauri mpaka hawa? ni ujinga, tena mkubwa, they know each and everything that they are doing!!

kwanini hawa wanawake ambae ni chini ya darasa la saba hawafanyi huu uchafu wa kupiga picha za uchi na kuvaa vivazi vya ajabu? they still have what is so called maadili in their heads!
 
Kweli kabisa.Inakaa kama vile wasomi sio material wives(sio wote lakini)
 
Ndomana mama watoto wangu niliamua kumshauli mavazi ya kuvaa mapemaaaa!
 
Kweli kabisa...
Baadhi ya wanawake wamekuwa kero, kuvaa nusu utupu, then wakikaa mda wote kuzivuta mini skirts..

Kule kwetu darajani zanzibar wakipita tunawapa kibano, hawarudii tena.
 
Ukimuona kava nguo mbaya mnunulie nguo unayotaka avae au pelekeni shauri bungeni wapige marufuku kabisa

Ukitaka kumkinga mtoto asione mambo ya ajabu usimtoe nje aishi ndani tu swala lako la malezi ya mtoto wako isiwe chanzo cha kuchaguliana mavazi

Just for love
 
Back
Top Bottom