Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,411
- 271,880
Mchangiaji anayejiita "utaifakwanza" anapo jitahidi kujitoa ufahamu;
kamanda usihangaike na watoto wa viongozi wa ccm .
Mchangiaji anayejiita "utaifakwanza" anapo jitahidi kujitoa ufahamu;
Picha za mwaka 2010 zinatumika leo kuhadaa watz mitandaoni na kwenye media
huyu mzee amezeeka sana basi tu ni kig'ang'anizi wa siasa au labda chama ni cha jamii yake. Nadhan 2015 ndo mgombea urais wa cdm!
Mrusha Mabomu ameshapewa Unaibu Waziri kwa hiyo tutegemee Utulivu japo wa Muda ijapokuwa Tahadhari ni Muhimu.Tunachoomba tu wasijirushie mabomu
huyu mzee amezeeka sana basi tu ni kig'ang'anizi wa siasa au labda chama ni cha jamii yake. Nadhan 2015 ndo mgombea urais wa cdm!
ccm bye bye
Lema na genge lake, ndio kazi yao hiyoMrusha Mabomu ameshapewa Unaibu Waziri kwa hiyo tutegemee Utulivu japo wa Muda ijapokuwa Tahadhari ni Muhimu.
Duu CDM mtaahangaika sana mwaka huu kila kukicha kauli mbiu sawa sasa bado Tanzania Daima!
Mtakuja kujutia matokeo yake 2015 na lazima muangukie puwa mwaka huu! Malizieni hela zetu za ruzuku hizo ofisi zenu hata pen hamna!
Lema na genge lake, ndio kazi yao hiyo
Picha za mwaka 2010 zinatumika leo kuhadaa watz mitandaoni na kwenye media