Recent content by Rasokauzu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada:Tuliopangwa vyuo vya afya na NACTE tunaanza kuriport lini

    Habari.. Mpaka sasa naona bado wizara imenyamaza haitoi tamko lolote kwa sisi ambao tumechaguliwa mwaka wa masomo 2018/2019 kuwa tunaanza kuriport lini mwenye taarifa yyt naomba anijuze
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nini dawa ya asili ya kuondoa gesi tumboni?

    Tumia makata ni dawa y kisunna....ipo vzr
  3. R

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuondoa hacking ya simu

    Hata usipofanya hard reset ni rahisi kukitoa...iko hv hakuna program yoyote ya ku hack inaweza kufanya kazi pasipo kuomba ruhusa ya devise administrator and accsessibility....jinsi ya kukiondoa hcho ki program n kuondoa tiki kweny dvc adminstrt na accsesiblty hapo utaweza ku uninstall.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuondoa hacking ya simu

    Hata ukitumia nokia tochi ana uwezo wa ku acsess info zako akiwa anatumia tellbox
  5. R

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuondoa hacking ya simu

    Fanya ukaguzi mzima wa simu yako...hakikisha unatumia email yako na si vinginevyo.....halafu ingia setting kisha angalia kama device administrator imesetiwa find my device ukikuta nyingine option ondoa tiki...kisha kagua accessibility kama kuna service ambayo ipo stored halafu imepigwa tiki...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari. Playstore inasunbua kupakua apps

    Sidhani kama kuna haja sanaa maana playstr ni ile ile
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari. Playstore inasunbua kupakua apps

    Ingia setting kesha nenda storage halafu bonyeza sehemu iliyoandikwa clear cache....itakubali ila ikiendelea kukataaa ingia playstore kisha search app ambayo haina mb nyingi kisha jaribu ku install
  8. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibarua chochote nimemaliza chuo diploma ya ICT

    Skia achana n fikra z kuajiriwa cha kufanya jiajiri watu wengi mtaani simu zao zina stack wengine hata kuweka app kwenye simu hawajui...unaonaje ukatengeneza bonge 1 l tangazo halafu ukabandika mtaani utapiga pesa y kutosha....Ndio kz yngu hyo nimejiongeza kama hujui pa kuanzia n PM
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye yule beki tatu aanza kupata kichefuchefu, ndoa yangu matatani

    Muoeee awe mke wa pili....kwani ugumu uko wapi
  10. R

    JamiiForums Tanzania Twitter yakitambua Kiswahili rasmi

    Inapendeza kuona lugha yetu now inaruka bodaaa
  11. R

    JamiiForums Tanzania Azam Tv gwiji wa kuonyesha matukio ya mubashara Tanzania na East Africa

    Azam wana basi kubwa l kurushia live...ila hawa wengine naona bado wanatumia hice
  12. R

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza ajira 6,180 kada ya afya

    Shukrn......aliyefanikiwa kuandika CV safi Ikakubaliwa na akaajiriwa kwenye cz y clinical medicine ani PM..NTASHUKURU SANAAA
  13. R

    JamiiForums Tanzania ENGLISH LEARNERS SPECIAL THREAD

    Dope
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kingereza changu kibaya wapi wanafundisha vizuri?

    Tumia hii chanell y youtube inaitwa english professional Yule ticha yuko vzr
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kuoa wake wengi huchangia sana machafuko ya kisiasa

    Kweli kbx
Back
Top Bottom