Hapo mkuu umepigwa shambulio na app moja inaitwa
*Android Phone control*
Hii app ni hatari.. ilikua inapatikana hovyo ila kwa sasa naskia ipo kwenye black market.
Ni app ya kama 60kb... ila inafanya kazi hatari
. .
Ila anaedukua info zako lazma alipata muda wa kama dk 5 na simu yako alitumia otg.. kuinstall hiho ki app..
Kazi yake ni
Kumtumia kwenye email yake shughuli zote za simuna gps codinates za ulipo..
Yani
Miss call
Calls
Sms
Emails
Na upande wa calls ina option ya kurekodi ila wajanja hawaitakagi hiyo coz itakustua kwenye matumizi ya bando..
Ku acces hicho kia appkwenye simu yako lazma ujue punch codes yan labda ukicall 8799.. kinafunguka...
Hata ufanye hard reset hakitoki.. dawa ni kupia chini Firmware..
Ila ujue huyo anaetaka taarifa zako ataweka tena akipata .. chance..
So kuwa makini na simu ..
Hata usipofanya hard reset ni rahisi kukitoa...iko hv hakuna program yoyote ya ku hack inaweza kufanya kazi pasipo kuomba ruhusa ya devise administrator and accsessibility....jinsi ya kukiondoa hcho ki program n kuondoa tiki kweny dvc adminstrt na accsesiblty hapo utaweza ku uninstall.