Namna ya kuondoa hacking ya simu

Namna ya kuondoa hacking ya simu

Fanya ukaguzi mzima wa simu yako...hakikisha unatumia email yako na si vinginevyo.....halafu ingia setting kisha angalia kama device administrator imesetiwa find my device ukikuta nyingine option ondoa tiki...kisha kagua accessibility kama kuna service ambayo ipo stored halafu imepigwa tiki iondoe haraka...ukisha fanya haya ma 2 ie device admn and accsesibilty nenda kwenye option y apps kisha kagua apps ambazo huzielewi nyingi huwa na jina l security make sure una zi unstall...hapo utakuwa umeisafisha simu yako ila kama huyo anaye kufatilia anatumia njia ya telbox app nivigumu kumzuia lbda ubadili number na asiifahamu
Nimeona Kila nikiweka line nyingine mpya ,bado anapata mwanya wa kuendelea kupata kile anacho kihitaji, vp nikitumia simu isiyo ya smartphone

Vp nikienda kampuni ya simu siwezi pata msaada? Inavyoonekana kila nikiweka line mpya anapata taarifa na kupata anachotaka, vp nikitumia simu ya tochi inaweza kuwa suluhisho?
 
Kwa akili zako hizi utaendelea kuhackiwa mpaka ufe, watu wamekushauri kureset na ufanye new set up ila umekomaa na kubadili line.

Ushauri mwingine tunapotezaga muda tu.
 
  • Thanks
Reactions: Ctr

Hata ukitumia nokia tochi ana uwezo wa ku acsess info zako akiwa anatumia tellbox
 
Epuka kufungua adds na link uzotumiwa na watu usiowajua
 
Kwa akili zako hizi utaendelea kuhackiwa mpaka ufe, watu wamekushauri kureset na ufanye new set up ila umekomaa na kubadili line.

Ushauri mwingine tunapotezaga muda tu.
Nashukuru kwa ushauri,hicho unachosema nilishafanya nikabadili mpaka nywira
 
Nashukuru kwa michango yenu ila kiukweli nishafanya hard reseting nikabadilisha nywira lakini wapi bado amezidi kuingilia mawasiliano, kibaya zaidi mtu huyo anaexpose mambo yangu ya kifamilia
Ni hivi ,chanzo kikubwa cha haya matatizo ni pale unapofany synchronization hasa ya Email yako na account zingine kama google,Facebook, twitter na takataka zingine zile.

Ushauri ni kwamba sajili new email pengine isiyofanana kabisa na names zako, weka strong password,ikieezekana tumia simu nyingine ya mawasiliano kwa sababu huyo MTU bila shaka atakuwa ana seal number za sim ako,
Afu uache kufanya kamchezo ka synchronization itakusaidia
 
nmesoma comments zote ili niive kudukua lakini Hamna nlichoambulia.
Nahisi iyo telbox app ni kiboko
Fanya ukaguzi mzima wa simu yako...hakikisha unatumia email yako na si vinginevyo.....halafu ingia setting kisha angalia kama device administrator imesetiwa find my device ukikuta nyingine option ondoa tiki...kisha kagua accessibility kama kuna service ambayo ipo stored halafu imepigwa tiki iondoe haraka...ukisha fanya haya ma 2 ie device admn and accsesibilty nenda kwenye option y apps kisha kagua apps ambazo huzielewi nyingi huwa na jina l security make sure una zi unstall...hapo utakuwa umeisafisha simu yako ila kama huyo anaye kufatilia anatumia njia ya telbox app nivigumu kumzuia lbda ubadili number na asiifahamu
 
Mkuu mi ushauli wa kiufundi sina,
Nachokushauli usitumie simu mwaka mzima ili anae kudukua ajione fala, maana ataona udukizi unemshinda na hapo ataacha mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
mkuu kabla sijakupa solution madhubuti nataka nijie kwanza umejuaje kama unadukuliwa?

kipi kinakupa notification kuwa kuna third part ananyonya data zako?

maswali haya ni yamsingi kujibiwa kwani yatatupa mwanga wa namna ya kutataua yanayo kusibu.

je unaambiwa na mtu?
je ni app fulani inakupa notification?
je ni anayekudukua mwenyewe ndo anajitapa kukudukua?
je n.k n.k

tutapata suluhisho
 
Hapo mkuu umepigwa shambulio na app moja inaitwa
*Android Phone control*
Hii app ni hatari.. ilikua inapatikana hovyo ila kwa sasa naskia ipo kwenye black market.

Ni app ya kama 60kb... ila inafanya kazi hatari
. .

Ila anaedukua info zako lazma alipata muda wa kama dk 5 na simu yako alitumia otg.. kuinstall hiho ki app..
Kazi yake ni
Kumtumia kwenye email yake shughuli zote za simuna gps codinates za ulipo..

Yani
Miss call
Calls
Sms
Emails
Na upande wa calls ina option ya kurekodi ila wajanja hawaitakagi hiyo coz itakustua kwenye matumizi ya bando..
Ku acces hicho kia appkwenye simu yako lazma ujue punch codes yan labda ukicall 8799.. kinafunguka...
Hata ufanye hard reset hakitoki.. dawa ni kupia chini Firmware..
Ila ujue huyo anaetaka taarifa zako ataweka tena akipata .. chance..
So kuwa makini na simu ..
 
Mkuu inaelekea ni mtaalamu wa hii kitu, Funguka zaidi waanga ni wengi!

Utaconfirm vipi kama unakuwa tracked na hii app? Pili unapigaje chini firm ware?
 
Nakushauri badili password zako zote alafu tafuta hii BLACKBERRY DTEK50 au DTEK60 ndio uwe unaitumia ina security ya hali ya juu
 
Dawa ni kuriseti simu iwe Mpya then fungua new new email with strong nywira
 
Back
Top Bottom