TAMISEMI yatangaza ajira 6,180 kada ya afya

TAMISEMI yatangaza ajira 6,180 kada ya afya

Joined
Apr 18, 2012
Posts
95
Reaction score
213
AFYA-1.jpg
AFYA-2.jpg

CHANZO:TAMISEMI
 
Hivi huwa wanatangaza waliochaguliwa hizo kazi baada ya miezi mingapi baada ya kufunga application?
 
Mimi naomba tofaut kati ya hizo term tatu hapo juu

1.Technologist ii

2.laboratory technologist ii

3. Health lab technologist ii

Hizo term zinanichanganya kweli

Anaejua naomba anijuze plz ili nijue ni ipi anakusudiwa wa degree na ni ipi diploma etc
 
Haya sasa team kupinga kila kitu,hamieni huku.
IMG-20180511-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom