chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,982
Kuoa wake wengi ni suala ambalo bado lipo kwa kiasi kikubwa katika nchi za Afrika na za Kiislam na huchangia pakubwa machafuko ya kisiasa katika nchi hizo
Nchi ambazo wanaume wanaoa mke zaidi ya mmoja zimeonekana kuwa na vita na machafuko,
Je ndoa za mitala zijnachangiaje machafuko..?
Idadi ya wanawake na wanaume duniani almost inalingana (Human sex ratio - Wikipedia)
Sasa wanaume matajiri wakifikia asilimia 10 ya wanaume wote na wakioa wake wanne kila mmoja, asilimia 30 ya wanaume wa tabaka la chini hawatapata mwanamke wa kuoa
Vijana watafanya maamuzi magumu kuepuka kuangukia hili tabaka la chini,
Nchi ya Sudan Kusini ndoa nyigi ni za mitala na kuna ukosefu wa wanawake wa kuoa, kuoa mwanamke mmoja mzuri inaweza kugharimu hadi ng'ombe 100
Vijana hawewezi kumudu hili, so wanashawishika kuchukua bunduki na kufanya uporaji wa mifugo, maelfu ya watu huuawa kwa uporaji wa mifugo kila mwaka huko Sudan Kusini
Hii ni moja ya sababu nchi ya Sudan Kusini imekumbwa na machafuko kwa miaka mingi
Nchi zenye ndoa za mitala zina umwagaji damu sana, nchi 20 zenye machafuko zaidi duniani zote zina utamaduni wa ndoa za mitala