Recent content by rashidymdoe

  1. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na X wangu Beatha, nimelia sana!

    Shusha namanga mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Tuko vyombo mzee Sent using Jamii Forums mobile app
  3. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Naombeni msaada, Natafuta kazi ya udereva nina vyeti udereva na driving licence. Nina uzoefu zaidi ya miaka 7 sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Popo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya kuufungia wimbo wa Mwanza

    ifikie kipindi basi kabla ya msanii kuufanuia wimbo video au mastaring wawe wanapereka demo zao badsya zidikilizwe na kupitishwa ili kuondokana na gharama wanazo ingia.....*tamati* BASATA ijue wansatufanya wapenzi na mashabiki wa muziki pamoja na wasanii wetu wanao pambana kuhakikisha...
  6. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

    tujalibu kuangalia hili lakua rais kuweka mawazari kwenye sekta kwa muda nakutaka kuya fanikisha yale atakayo kwa muda mfupi pasi ya kuwa wamejijengea misingi na miongozo mizuti ili kufikia malengo j sasa je ni madhara kiasi gani yatatokea juu ya ya huu uteuzi .....?
  7. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

    hatimae yametimia wakuuu
  8. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania KITENDAWILI

    naongeza dau mkuu 50000
  9. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania KITENDAWILI

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania KITENDAWILI

    Semeni.. TEGA.. Yeye ni katiba, Yeye ni Bunge, Yeye ni Serikali, Yeye ni Halmashauri Kuu ya Chama, Yeye ni Hazina, UKIKUTANA NAE.. Msifie, Usimwambie mabaya yake, Mwite Mzalendo hata kama Fisadi, Mwite Mcha Mungu, Ongea upuuzi kwa TV, Ila msifie tu.. NIJIBUNI!
  11. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    kumepoaw
  12. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

    mimi nitachangia kesho jioni baada ya mmoja wapo kung'olewa
  13. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu yangu kuhusu tendo la ndoa kwa wanandoa wenye migogoro

    ngoja nisome kwa wenye ndoa zao na matendo ya ndoa kwenye migogoro umya ndoa zao mana mimi hata kuifikilia ndoa bado kwa sina uzefu kernye hili
  14. rashidymdoe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanahabari akiwemo Mkenya washikiliwa kusikojulikana ndani ya Tanzania

    tuna poteza sifa ya kuwa na ujamaaa uloo bora zaidi na ile sifa ya tsnzania kuwa na ukalimu zaid inapotea je kwa haya yanayo endelea tuna tafsiri vp dhima ya ukarimu na ujamaa baina yetu na nchi jirani zetu
  15. rashidymdoe

    JamiiForums Tanzania Nilitamani nimtawanye lakini kwa msitu niliouona nilisita

    tusubili wenye tabaka hili waje mana hata huu uzi uko kihuni zaid
Back
Top Bottom