Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,736
Muongo, huwezi tupia nyonyo mtoto anyonye mgongoni.
Chumvi yote ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chumvi yote ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ivi umesoma na kumuelewa au umedandia tu 😂😂😂😂Miaka 56? Mwanamke awe ananyonyesha huku anamimba? Uko makini kweli au kuna nati ktk medulla oblangata imelegea?
Be serious man!
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
MC Pilipili na ID nyingine au?Kama kawaida yangu, kila nifikapo kijijini kwetu kipindi kama hiki cha sikukuu huwa natembeatembea kuangalia namna gani madhari ya kijijini yamebadilika.
Leo sasa, saa tisa niko zangu road natembea, kwa mbali namuona mtu, kavaa nguo za kike. Ila sikujua kama ni mwanamke mpaka aliposogea kidogo. Aha kumbe ni mama wa makamo, umri kama miaka 56 hvi.
Aliposogea karibu kama mita kadhaa hivi, nikataka kumuamkia ila nafsi ikasita. Mama mamaaaa....kumbe ni Beatha bhana. Ni Mpenzi wangu wa zamani. Ni kama miaka minne hvi tulitengana. Maskini Beatha kabadilika. Ana miaka 20s tu ila...
Kilichofanya nijue kuwa ni yeye. Ni mtoto aliyekuwa amemshika mkono. Wanafanana sana na Beatha wa zamani hasa macho.
Jamani Beatha kabadilika sana ndani ya miaka minne. Ngozi yake ya usoni ni sawa na ngozi yake ya kwenye viganja vya mikononi. Yale mashimo katikati ya mashavu yake mawili yamejiziba halafu mashavu yakaingia ndani yaani muda wote ni kama vile anamumunya ubuyu.
Zile chuchu zake zilizokuwa wima zimelala na kurefuka sana. Nilishangaa sana maana sikutegemea mtoto yule aloyekuwa kampakata mgongoni angeweza kunyonya huku mama yake akitembea. Yaani imepitishwa juu ya bega kama mtandio mtoto akakamatilia na kunyonya taratibu huku akijilaza mgongoni mwa mamaye.
Beatha kakonda jamani. Sijui ni ndoa au lishe. Mi sijui. Taya zake zimejichora. Miguuni unaiona mifupa kabisa jinsi ilivyokaa. Yaani ngozi tu ndo imefunika mwili. Sehemu pekee aliponenepa ni tumboni. Nahisi ana mimba nyingine.
Ukimuona alivyo utajua tu huyu mtu ajala toka asubuhi. Niliingiza vidole vyangu mfukoni nikatoka na noti ya elfu kumi na kumpatia Beatha. Akanishukuru. Kisha akaenda zake.
Alivyokuwa anaondoka macho yangu Yalikuwa yanamsindikiza kwa nyuma. Maskini, nyuma kwake hapana tofauti na mbele. Kile kichuguu chake, kimeshalimwa. Dah kweli usipende mwonekano wa mtu, penda utu wake.
Beatha in short hatukuachana, ila yeye ndio aliniacha. Alirubuniwa na rafiki yangu Willy, akaolewa, mimi nikiwa shule. Nakumbuka nilikiwa nikimpigia anakata simu badae kaniblock, nilisoma kwa tabu sana maana nilimpenda sana.
Ilipofika likizo nilirudi kijijini bila taarifa. Baada ya kusalimiana na familia ilinibidi kwenda kumtembelea rafiki yangu Willy, ili nimwambie namna Bertha kabadilika. Kufika kwao, nikaingia ghetoni kwake bila hodi kumsuprise. Sikuamini kumkuta Willy kifuani Mwa Bertha. Niliganda kama sanamu kwa dakika moja. Kisha nikatoka nje nakukimbia hadi nyumbani.
Kesho ntaenda kuwatembelea Beatha na Willy. Bertha yupo kwao, Willy yupo kwake ana mke mwingine. Nimepanga kuwapa zawadi za mwaka mpya na Christmas.
Nimejikuta tena nampenda Beatha mara 10 zaidi ya nilivyompenda kabla ya kuwa hivi alivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 56? Mwanamke awe ananyonyesha huku anamimba? Uko makini kweli au kuna nati ktk medulla oblangata imelegea?
Be serious man!
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
We fa.la kazi yako kulia tu,kila kitu unalia,ondoa upuuzi,kila heading unalia tu LAFA BWAMKU NASA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa MC pilipili huyu.mkuu baada ya kuona kituo cha afya ukalia, then kumuona beatha napo umelia..dah kweli watu mnalialia tu.
Amesema kama ana miaka 56Miaka 56? Mwanamke awe ananyonyesha huku anamimba? Uko makini kweli au kuna nati ktk medulla oblangata imelegea?
Be serious man!
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi story Haina tofauti na white elephantKama kawaida yangu, kila nifikapo kijijini kwetu kipindi kama hiki cha sikukuu huwa natembeatembea kuangalia namna gani madhari ya kijijini yamebadilika.
Leo sasa, saa tisa niko zangu road natembea, kwa mbali namuona mtu, kavaa nguo za kike. Ila sikujua kama ni mwanamke mpaka aliposogea kidogo. Aha kumbe ni mama wa makamo, umri kama miaka 56 hvi.
Aliposogea karibu kama mita kadhaa hivi, nikataka kumuamkia ila nafsi ikasita. Mama mamaaaa....kumbe ni Beatha bhana. Ni Mpenzi wangu wa zamani. Ni kama miaka minne hvi tulitengana. Maskini Beatha kabadilika. Ana miaka 20s tu ila...
Kilichofanya nijue kuwa ni yeye. Ni mtoto aliyekuwa amemshika mkono. Wanafanana sana na Beatha wa zamani hasa macho.
Jamani Beatha kabadilika sana ndani ya miaka minne. Ngozi yake ya usoni ni sawa na ngozi yake ya kwenye viganja vya mikononi. Yale mashimo katikati ya mashavu yake mawili yamejiziba halafu mashavu yakaingia ndani yaani muda wote ni kama vile anamumunya ubuyu.
Zile chuchu zake zilizokuwa wima zimelala na kurefuka sana. Nilishangaa sana maana sikutegemea mtoto yule aloyekuwa kampakata mgongoni angeweza kunyonya huku mama yake akitembea. Yaani imepitishwa juu ya bega kama mtandio mtoto akakamatilia na kunyonya taratibu huku akijilaza mgongoni mwa mamaye.
Beatha kakonda jamani. Sijui ni ndoa au lishe. Mi sijui. Taya zake zimejichora. Miguuni unaiona mifupa kabisa jinsi ilivyokaa. Yaani ngozi tu ndo imefunika mwili. Sehemu pekee aliponenepa ni tumboni. Nahisi ana mimba nyingine.
Ukimuona alivyo utajua tu huyu mtu ajala toka asubuhi. Niliingiza vidole vyangu mfukoni nikatoka na noti ya elfu kumi na kumpatia Beatha. Akanishukuru. Kisha akaenda zake.
Alivyokuwa anaondoka macho yangu Yalikuwa yanamsindikiza kwa nyuma. Maskini, nyuma kwake hapana tofauti na mbele. Kile kichuguu chake, kimeshalimwa. Dah kweli usipende mwonekano wa mtu, penda utu wake.
Beatha in short hatukuachana, ila yeye ndio aliniacha. Alirubuniwa na rafiki yangu Willy, akaolewa, mimi nikiwa shule. Nakumbuka nilikiwa nikimpigia anakata simu badae kaniblock, nilisoma kwa tabu sana maana nilimpenda sana.
Ilipofika likizo nilirudi kijijini bila taarifa. Baada ya kusalimiana na familia ilinibidi kwenda kumtembelea rafiki yangu Willy, ili nimwambie namna Bertha kabadilika. Kufika kwao, nikaingia ghetoni kwake bila hodi kumsuprise. Sikuamini kumkuta Willy kifuani Mwa Bertha. Niliganda kama sanamu kwa dakika moja. Kisha nikatoka nje nakukimbia hadi nyumbani.
Kesho ntaenda kuwatembelea Beatha na Willy. Bertha yupo kwao, Willy yupo kwake ana mke mwingine. Nimepanga kuwapa zawadi za mwaka mpya na Christmas.
Nimejikuta tena nampenda Beatha mara 10 zaidi ya nilivyompenda kabla ya kuwa hivi alivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hutaki?Muongo, huwezi tupia nyonyo mtoto anyonye mgongoni.
Chumvi yote ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app