Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Mimi sijaona nyingi za kikolea.. tafuta moja inaitwa the great battle itaipenda.Movie actio korean
Mimi sijaona nyingi za kikolea.. tafuta moja inaitwa the great battle itaipenda.Movie actio korean
Hiyo Gangster,The Devil,The Cop,,iko vizuri eeh?Movie actio korean
Ile hold on ni ya Drake pekee mzee,sema kama unasema Kendrick yupo Drake huwa inaitwa Poetic and JusticeAahh nimechanganya ule yupo na Drake.. anaimba hold on babe we're going home..
Daaah kweli nimezeeka.Ile hold on ni ya Drake pekee mzee,sema kama unasema Kendrick yupo Drake huwa inaitwa Poetic and Justice
Mambo ni mengi broDaaah kweli nimezeeka.
Hizo nyimbo mara ya mwisho kuzicheki ilikua 2013. Ndio maana sizikumbuki vizuri
Ndio ni nzuri sana pamoja na parasite ,,the divine fury hizi ndo kali zangu mwaka huu kwa korea japo kuna 1 au 2 nmezisahauHiyo Gangster,The Devil,The Cop,,iko vizuri eeh?
Ndio hio nahisi ni chinese nmeona japo sijaipenda sana jitahidi utafute au ushasogea nikugaie kabla sijazifutaMimi sijaona nyingi za kikolea.. tafuta moja inaitwa the great battle itaipenda.
Ratiba imachange asee kesho naenda region nyingine nitakaa huko mwezi.. the ndio nitasogea karibu yako. Keep them for me pleaseNdio hio nahisi ni chinese nmeona japo sijaipenda sana jitahidi utafute au ushasogea nikugaie kabla sijazifuta
Kweli aseeMambo ni mengi bro
Divine nmeona mahali wanaizungumzia kuwa ipo poa,Ndio ni nzuri sana pamoja na parasite ,,the divine fury hizi ndo kali zangu mwaka huu kwa korea japo kuna 1 au 2 nmezisahau
Heh nitajitahidi nikishindwa basi nitakushushiaga ukijaRatiba imachange asee kesho naenda region nyingine nitakaa huko mwezi.. the ndio nitasogea karibu yako. Keep them for me please


Yup ni nzuri mm nneipata hd majuzi ndo wametoa kwa sitesDivine nmeona mahali wanaizungumzia kuwa ipo poa,
Nimemiss kelele za fiesta dada
Love you for that lady..Heh nitajitahidi nikishindwa basi nitakushushiaga ukija
Kuna hii aijui kama umeiona pia
''The night comes for us'' ni noma![]()
Valah Morghulis
Hahah upo kama mimi aisee,ile night comes for us sio kabsa,,kuna nyingine inaitwa The RaidLove you for that lady..
Hiyo inazingua bana mauaji.. mimi nina roho nyepesi sana siwez vumilia kuona watu wakiteseka