Recent content by Rashidyisiaka

  1. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nina tatizo la mgongo kulia koda nn dawa yake
  2. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mpaka saa21:16 umeme umekatika mara 13 handeni jamani hii si adhabu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco handeni wanasumbua sana wanakatakata umeme hebu malizeni hili tatzo ni kero Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimebadilishiwa tarifu zero ila sijapewa zile unit40 nifanyaje
  5. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati nafsi yangu inatamani kula nyuma ya wife lakini najizuia

    Kula tu mzee ucwaze wala nn
  6. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa simu - mambo yanayokera

    Kutumiwa tafadhali nipigie mfululizo hii inanikera sana
  7. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania Wanaume tafuteni maneno mazuri ya kutongozo

    Kama huna pesa lazima uwe name maneno matamu
  8. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania Taasisi za mikopo mnaua ndoa zetu.

    Mtaani kwetu kuna wadada wamekimbia familia zao Kwa mushindwa malejesho.
  9. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sijapewa unit 40 za offer tatizo nini
  10. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania Nimsaidiaje aachane na ulevi wa kupindukia

    Ngoja afilwe ataacha
  11. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania Mandojo na Domo Kaya: Tumeibiwa kila kitu tunashukuru P-Funk majani katurekodia bure

    Zamani kulikuwa na vipaji vya ukweli asaiv magumashi tu
  12. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inaitwaje hiyo prediction
  13. Rashidyisiaka

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

    Necta ndipo majibu yalipo
Back
Top Bottom