Recent content by Ramsonii

  1. R

    Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

    Kwa nini wabongo hatupendi mafanikio ya wenzetu? Hatukufundishwa upendo ndio maana ni maskini
  2. R

    Mchumba wa kike anahitajika

    Cv hiyo hapo Ila mke awe Christian, black au White ila asiwe White wa kujichubua, Msafi,anayejipenda Mrefu au size ya kati
  3. R

    Mchumba wa kike anahitajika

    Sifa zangu Elimu :degree ya kwanza Kazi :self employed Rangi :maji ya kunde Urefu :wastani Dini :mkristo
  4. R

    NAFASI YA KAZI

    JOBS VACANCY. (Opportunity). Muajili wako ni Google Usajili ni...........bure Kazi ni.......afisa masoko Mahali.....online Salary... tsh 678 kwa kila tangazo. Cha kufanya sasa. Ingia google play store sasa. 1. Type CHAMPCASH 2.download hiyo app 3.open- chagua signup CHAMP CASH-jaza details-...
  5. R

    NAFASI YA KAZI

    [emoji92] Fixed Income Plan [emoji92] [emoji92] INCOME JUNCTION PACK [emoji92] Subscribe for this pack freely for the first 15 days, thereafter if you find it beneficial activate this pack by paying $11 ... [emoji92] Benefits of this pack [emoji92]: ● Income from Opinions ● Income from...
  6. R

    Wamama wenye watoto mnakera kwenye daladala

    Halafu wanaingiaga kwenye daladala huku akiona kabisa imejaa akitegemea msamaria mwema amuachie seat
  7. R

    Nabii Frank Julius Kiwalah ni nani?

    Mkuu usimfate nabii kwa sababu anafanya miujiza, hata shetani anaweza kufanya miujiza, Mfate Yesu pekee usimfate mtu
  8. R

    Mchumba wa kike anahitajika

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 28,sijashindwa kumpata mke huko mitaani ila watu waliopo humu ni walewale waliomo mitaani, tena unaweza kukuta unaumiza kichwa binti unayemuona mtaani kumbe hata hajielewi,kwahivo ni bora kuweka bandiko hapa ambalo linaweza kuleta mtu mzuri zaidi, Sifa zake Umri...
  9. R

    King Ali Kiba amejishindia tuzo za ASFAS nchini Uganda

    Hizo ni tuzo fashion siyo muziki
  10. R

    Hivi Walokole feki (Hasa Wanawake) mtapata lini akili juu ya haya? Jirekebisheni.

    Thread kama hizi zinaachwa tu, ila ikimgusa makonda inatolewa fasta Jf mjitathmini
  11. R

    The Bold: Shukrani Wakuu

    Hii jf siielewi Inamaana mnafahamiana sana?
  12. R

    Matapeli wapya mjini 0743340917

    Msiwacheke waliotapeliwa, hawa jamaa wanakuwaga wanatumia madawa ya kupumbaza, kama mazingaombwe
  13. R

    Maajabu ya Mwanamke

    Najua sana, mwanaume ni lazima utoe, usipotoa unajisikia vibaya Hata kama bibi ana pesa zaidi siyo akuhudumie kila siku, Unaweza kupata shida ya kisaikolojia
Back
Top Bottom